devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Anataka kutuaminsha Tangu mama achukue nchi ndio watu wameanza kuiba.Kwani uliwahi kuisha?
Mkuu mimi tena?Anataka kutuaminsha Tangu mama achukue nchi ndio watu wameanza kuiba.
Uwizi kweli umetamalaki.Anataka kutuaminsha Tangu mama achukue nchi ndio watu wameanza kuiba.
King Kong III
huyo afande alotajwa na mama ni nani?
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana
Kuna kitu hakiko sawa
Uongo mtupu, mbona hutaji Mkoa lengo lako ni kutaka kuleta taharuki ili ionekane Madam President kazi inamulemea - wakati hiyo si kweli hata kidogo, mkuu nakushauri tafuta shughuri nyingine ya kufanya na sio hii ya ku-manufacture UONGO.Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana