Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Tufundishe vijana namna ya kutunza vitu muhimu kama nyaraka za vyeti na Laptops haswa wakati wa safari. Sijawahi kuweka begi langu lenye kitu chochote cha muhimu kwenye carrier ya bus, ni lazima niwe nalo mapajani muda wote bila kuzingatia umbali wa safari wala kushuka sehemu ya kula, lazima bag niwenalo.
 
Na kwny mabus huwa wanasisitiza sana jambo hili..ukae na vitu vyako vya thamani
 
s
sasa kuwa handsome na wizi vina uhusiano gani mkuu. usije ukajiroga kufanya maamuzi kwa kuangalia sura za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…