Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

How? Make it long plz...
 
aisee kibegi kdg Kama Hicho unakiweka juu na unakua na amani kweli? Mm bag LA mgongoni mara nyingi linakua na kilak2 hata kwenye safari ya mbali ntalibeba mda Wote na hata mda wa kwenda toilet pia naenda nayo
Amezingua sana huyo dogo...
 
mahakama ya mnyonge cctv camera ya muafrika ungempata
 
W
Wakidakawa msisahau updates wakuu, hawa washenzi sana. Siku huyu jamaa akikamata mwizi akamtia bisu watu watasema hana huruma.

Hapo vyeti washavitupa mtaloni, pc washauza, begi washauza. Wajinga sana hawa wezi.
WApuuz sana bora wangekua vyet wanasalimisha bac polisi au ht chuo kwa kujifanya samaria mwema umeokota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…