Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Asantesana ndio maishaPole sana jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asantesana ndio maishaPole sana jamani
Kwamba mwizi lazima awe mchafu?Eti jamaniii...kuna siku asubui tuu mtu kafungua duka akatoa mitungi ya gas nje huku yuko ndani anaendelea kutoa...akapita kaka mmoja yuko vzr tuu akauchukua mtungi mdog kama wake yule dada alisikia ki kelele fulani ndo kutoka ghafla akaanza mwizi mwizi yule kaka,akautupa kumbe ulikua empty... nikashangaa how such a handsome and smart guy anaiba angeshikwa na kuuwawa je?
We ndo mzembeWapumbavu waliniibia laptop kwenye Shabiby mpaka leo sitaki hata kuiona, walikula dili na makondakta
Sababu hujaweka picha yake mitandaoni angedakwa tuNgumu sana....Mimi mpaka Leo na RB ya dogo mmoja ni wanted aliiba 10M video na camera Kila kitu zilimuonyesha hatua zake zote.....................
Hii dar es salaam ni kubwa sana na ni ngumu kumpata otherwise wangekua na program kama za KGB au FBI au CIA au Mossad alama za mikono na picha zao zingeingizwa kwenye data base...
Kama walijiandikishaga
Mambo ni mengi muda mchache..[emoji4]
mwaka jana niliibiwa pc ya 1.2m hostel ya chuo....Hila jamani kuibisa kusikie tu kwajirani[emoji16], yaani unahisi kama ndoto si ndoto yaani unakuwa haujielewi kabisa.
Pole sana
Police walikua wanachota pesa mara mafuta ya kwenda ku patrol.....Sababu hujaweka picha yake mitandaoni angedakwa tu
😂😂😂Kuzimia kunakuja alafu kunakataaHila jamani kuibisa kusikie tu kwajirani[emoji16], yaani unahisi kama ndoto si ndoto yaani unakuwa haujielewi kabisa.
Pole sana
Wakifanya hivi wakakua wamepiga hatuaMakampuni ya usafiri wakiambiwa waweke utaratibu wa kukatisha tiketi kwa ID watabisha ila kwenye matukio kama haya ingekuwa rahisi sana kuwakamata majambazi.
Ni wa kupasuliwa kwakweliWakidakawa msisahau updates wakuu, hawa washenzi sana. Siku huyu jamaa akikamata mwizi akamtia bisu watu watasema hana huruma.
Hapo vyeti washavitupa mtaloni, pc washauza, begi washauza. Wajinga sana hawa wezi.
Na jamaa nae ana kauzembe na uoga kwenye vitu vyake na kupumbazwa na tv.Ni wa kupasuliwa kwakweli