Wizi wa kwenye mabasi wanaswa na kamera ya bus la ABC

Yani huwezi wadhania kabisa..duuh
Wanavyong'aa utadhani watu kumbe viatu? Mungu awezeshe wakamatwe. Tatizo huyo jamaa wa ABC hajasema basi lao lilikuwa linasafiri kutoka wapi kuelekea wapi ili iwe rahisi hata kwa polisi kufuatilia.
 
Duh alikuwa ni mfanyakazi wa pale?
 
Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.

ABC na uongozi wote ni wazembe wanatakiwa wamlipe aliyeibiwa maana wao wameratibu wizi. Abood wao wanafanya monitoring live, mtu akichanganya tu basi wanapiga simu faster mwizi anadakwa. Sasa hawa ABC inakuwaje mwizi anaachiwa???
 
ila daah kwa upande fulani nashukuru kwa hii video itasaidia sana kuongeza umakini kwene safari za mabasi. kumbe wizi upo bana.
 
Ni hatua nzuri mabasi kutumia camera za ndani ipasavyo.Kongole kwa ABC. hili basi huwa natumia nikienda Mbaya Mara nyingi sikukosea kuchagua.
 
Angalia video hii, kama unawatambua toa taarifa upate zawadi yako ya Tsh. laki 5.

Tunashauriwa begi lenye vitu muhimu pakata. Kama ni kubwa liweke sehemu unayotupa jicho kila muda. Mfano umekaa siti ya kulia bag weka kushoto mbele yako kidogo ili uone mtu anapotaka kufanya yake.
 
W

WApuuz sana bora wangekua vyet wanasalimisha bac polisi au ht chuo kwa kujifanya samaria mwema umeokota
Mkuu yani wakasalimishe vyeti polisi, bora tu wasiviharibu waviweke tu mahali salama hata stendi ila wasivitupe hovyo.
 
Mzee wa watu ameiba ili akamfurahishe binti wa watu gest
 
Mimi Begi la mgongoni Hata nimebeba magimbi siweki juu, Na ukiliangalia mara mbili mbili naweza nikuulize umepoteza kitu?, uchale ukizidi nalitia hata mgongoni humo humo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…