Nadhani ule wizi wangu ndio ulifanya litengenezwe sanduku lenye tobo mdogo mithili ya kibubu ili kufanya watu wengine nao wasiibe.Nailaani ile siku ambayo niliiba sadaka (kutokakatika chombo kile cha kuwekea sadaka).
Nikikumbuka jinsi nilivyojifanya naweka sadaka yangu chomboni kumbe ndo nachukua huwa nalia sana 😭.
Nadhani ule wizi wangu ndio ulifanya litengenezwe sanduku lenye tobo mdogo mithili ya kibubu ili kufanya watu wengine nao wasiibe.
Naomba nisamehewe, Aimen!
Niombee mkuu.Nadhani ule wizi wangu ndio ulifanya litengenezwe sanduku lenye tobo mdogo mithili ya kibubu ili kufanya watu wengine nao wasiibe.
Nakuombea kwa mtakatifu aurelia😎
Amina sana.Nakuombea kwa mtakatifu aurelia😎
Kwa vipi?🤣🤣🤣 secretarybird unajiamulia mambo sana
Kama hivi 👌Kwa vipi?
Huyu Mzee mwenye bonge la tumbo anakula nini?Kama hivi 👌
Sijui asikilimuu😅Huyu Mzee mwenye bonge la tumbo anakula nini?
Wazee wenye matumbo bana!Sojui asikilimuu😅
We huna tumbo unaishije?Wazee wenye matumbo bana!
Imeandikwa mtu haishi kwa chakula bali kwa neno.We huna tumbo unaishije?
So now unakuja kama shemasi we miyeyusho kweli 😅Imeandikwa mtu haishi kwa chakula bali kwa neno.
Ilibaki siku chache niufikie upadre ila ndo hivyo nikaishia katika ngazi ya ushemasi kutokana na mambo fulani fulani.So now unakuja kama shemasi we miyeyusho kweli 😅