Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mkuu mambo mengine ni ya kidunia zaidi na si ya kiroho.Ni jambo kama linakuwa fashion sasa
Kuna wezi wa aina mbili.
1. Wanaotakiwa kuzikusanya kuzihesabu na kuzihifadhi
2. Wanaoingia nyumba za ibada na kuvuja ofisi zinapotunzwa sadaka kisha kuiba na kutokomea nazo
Angalizo: sadaka ni dhabihu ya haki.. Imebeba maagano viapo na vikngilio vya madhabahu
Kuiba sadaka ni sawa na kujimwagia petrol kisha usogelee moto
Hivi anayekwiba sadaka kwenye kanisa la Mwamposa anakuwa kaiba dhabihu?
Tatizo letu bibadamu tukivutishwa mihadarati ya imani huzifunga akili zetu zisione uhalisi wa utapeli wa kiimani na wa kiujasiria dini.
Na hata tu kule kudadisi madhumuni ya matumizi halisi yatokanayo na makusanyo ya fedha za kondoo maskini wa Mungu, akili zetu hufungwa zisione ama kuhoji!
Labda niulize urefu wa dhambi ya mwizi wa sadaka vs Mchungaji(kanisa), (nabii wa uongo)anayezimiliki/faidi sadaka hizo zote moja kwa moja?