cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
HayupoooooWanakwambia bora uamini yupo usimkute kuliko kusema hayupo alafu ukamkuta
HayupoooooWanakwambia bora uamini yupo usimkute kuliko kusema hayupo alafu ukamkuta
RC hakuna hiko kitu, kazi za kanisa zinafanywa na Wana jumuia.Usiniambie hujawahi sikia hilo jina la watenda kazi kanisani? Wafagizi, wapanga viti, wauza mafuta ya upako, vitambaa, and . ........
My dear miye nimelisikia kwenye TV huko.RC hakuna hiko kitu, kazi za kanisa zinafanywa na Wana jumuia.
Labda madhehebu mengine hukoo, lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Labdaaa.My dear miye nimelisikia kwenye TV huko.