Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ni muhimu sana,Ni jambo kama linakuwa fashion sasa
Kuna wezi wa aina mbili.
1. Wanaotakiwa kuzikusanya kuzihesabu na kuzihifadhi
2. Wanaoingia nyumba za ibada na kuvuja ofisi zinapotunzwa sadaka kisha kuiba na kutokomea nazo
Angalizo: sadaka ni dhabihu ya haki.. Imebeba maagano viapo na vikngilio vya madhabahu
Kuiba sadaka ni sawa na kujimwagia petrol kisha usogelee moto
vya madhabahuni viliwe na wa madhabahuni 🐒