Wizi wa sadaka nyumba za ibada je ni laana ama dini zimeingiliwa?

ni muhimu sana,
vya madhabahuni viliwe na wa madhabahuni 🐒
 
Nilibatizwa, kupata komunio, kipaimara na kutumikia altar st Peters pale oysterbay, muda kidogo.
Watumikiaji hasa wale kutoka mitaa kinondoni na mikoroshini walikuwa wanazikwapua sadaka KISAWASAWA!
 
Hamna wizi.. mi kwamba wewe umeaminishwa sadaka zinaenda kwa Mungu ingawa wanakula binadamu... So wewe ndio mwizi wa akili yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…