Wizi wa sadaka nyumba za ibada je ni laana ama dini zimeingiliwa?

Mkuu mambo mengine ni ya kidunia zaidi na si ya kiroho.

Hivi anayekwiba sadaka kwenye kanisa la Mwamposa anakuwa kaiba dhabihu?

Tatizo letu bibadamu tukivutishwa mihadarati ya imani huzifunga akili zetu zisione uhalisi wa utapeli wa kiimani na wa kiujasiria dini.

Na hata tu kule kudadisi madhumuni ya matumizi halisi yatokanayo na makusanyo ya fedha za kondoo maskini wa Mungu, akili zetu hufungwa zisione ama kuhoji!

Labda niulize urefu wa dhambi ya mwizi wa sadaka vs Mchungaji(kanisa), (nabii wa uongo)anayezimiliki/faidi sadaka hizo zote moja kwa moja?
 
Kwa mwamposa kile ni kilinge cha upigaji kwa jina la kanisa... Kumbuka kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani..

Kwenye ishu za wizi kuna
1. wizi wa moja kwa moja
2.Wizi wa kitapeli
3. Wizi wa kalamu nk
Mada hii imejikita kwenye wizi wa moja kwa moja
 
Walitest kuiba wakaona haina madhara zaidi ya nadharia kwahiyo wanaendeleza.. Sadaka ya kweli hutolewa kwa wahitaji, (wasio jiweza) hizi nyingine ni kama michango tu
 
Wamechoka kuona wachungaji wanatembelea range huku kondoo wanatembea kwa miguu miaka nenda miaka rudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…