Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

Zile hukumu tunazoziona wanapewa watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya inabidi sasa nayo wapewe hawa wanaopiga hela za serikali labda itasaidia
Kupunguza upigaji maana naona kama watu hawaogopi!
Inabidi mama SSH afanye hivyo

Ova
Alafu Cha kufurahisha CAG naye anazidi kuja na madudu.
 
Halafu mbunge wake kapewa uwaziri wa pesa zetu
 
Kama uchunguzi huru utafanyika ukweli waweza kubainika, inasemekana yule Waziri kijana aliyekuwa akisifiwa kwa uchapaji kazi ndiye alikuwa ankwenda kwenye Halimashauri kuchota fedha/payback kupitia kwa maDED
 
Utawala wa bwana yule ulighubikwa na wizi kwa viongozi wakuu. Tofauti na awamu ya nne ambapo walau kila Mtumishi aliiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…