Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #41
Ashakufa, shida ipo hapo. Tukomae na washirika wake walioshiriki uporaji.Nasubiri na zamu ya Wanyongwe nao wagundue halafu wamsaliti Shujaa uchwara wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashakufa, shida ipo hapo. Tukomae na washirika wake walioshiriki uporaji.Nasubiri na zamu ya Wanyongwe nao wagundue halafu wamsaliti Shujaa uchwara wao
Alafu Cha kufurahisha CAG naye anazidi kuja na madudu.Zile hukumu tunazoziona wanapewa watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya inabidi sasa nayo wapewe hawa wanaopiga hela za serikali labda itasaidia
Kupunguza upigaji maana naona kama watu hawaogopi!
Inabidi mama SSH afanye hivyo
Ova
Hivi ni awamu gani kati ya zilizotangulia ambayo haikuwa na upigaji?Awamu ya Tano ilikuwa ni ya Upigaji wa hatari halafu wananchi alikuwa anawahadaa na Daraja.
Awamu ya kwanzaHivi ni awamu gani kati ya zilizotangulia ambayo haikuwa na upigaji?
😂😂😂Huo mchongo lazima Mwigulu yupo
Hivi ni awamu gani kati ya zilizotangulia ambayo haikuwa na upigaji?
Ya NyerereHivi ni awamu gani kati ya zilizotangulia ambayo haikuwa na upigaji?
Halafu mbunge wake kapewa uwaziri wa pesa zetuMtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini.
Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400 zimefujwa katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda. Aliilamu Ofisi ya DC na DED kwa wizi huo. Waziri Mkuu aliahidi hatua kuchukuliwa lakini hatua hizo hazijachukuliwa hadi leo April 2021.
Kuna tetesi kuwa Majaliwa sio mamlaka ya teuzi na tenguzi kwa viongozi hao na hakusikilizwa.
Jeje nini hatma ya fedha hizi za umma? Je, vituo vya Afya Ndago na Kinampanda vitaletewa hela nyingine?
Je, DC na DED Iramba walilindwa na nani?
Huo mchongo lazima Mwigulu yupo
Halafu ndio kapewa ukuu wa kibubu cha taifa.. Bimkubwa hapa kayumbaIramba itaendelea kuwa masikini sababu ya Mwigulu
Kama uchunguzi huru utafanyika ukweli waweza kubainika, inasemekana yule Waziri kijana aliyekuwa akisifiwa kwa uchapaji kazi ndiye alikuwa ankwenda kwenye Halimashauri kuchota fedha/payback kupitia kwa maDEDAlisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400 zimefujwa katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda. Aliilamu Ofisi ya DC na DED kwa wizi huo. Waziri Mkuu aliahidi hatua kuchukuliwa lakini hatua hizo hazijachukuliwa hadi leo April 2021.
Hatari nanusuHalafu mbunge wake kapewa uwaziri wa pesa zetu
Utawala wa bwana yule ulighubikwa na wizi kwa viongozi wakuu. Tofauti na awamu ya nne ambapo walau kila Mtumishi aliiba.Kama uchunguzi huru utafanyika ukweli waweza kubainika, inasemekana yule Waziri kijana aliyekuwa akisifiwa kwa uchapaji kazi ndiye alikuwa ankwenda kwenye Halimashauri kuchota fedha/payback kupitia kwa maDED
Watu walionya humu. Wengine walimlimpigia debe hatimaye katangazwa waziri wa fwedha.Halafu ndio kapewa ukuu wa kibubu cha taifa.. Bimkubwa hapa kayumba
Kilichofanyika ktk awamu hiyo ni kuwa wapigaji ni vigogo tu, tofauti na awamu ya 4 ambapo kila moja alikuwa akipiga.
Kakubadilishia gear angani.Mbona sikuelewi inahusiana na nini kuhusu Upigaji wa Iramba?
Ataibia wapi kipindi cha mama hakutakuwa na ufisadi.Waziri wa Fedha, iendelee kuwa maskini?
Wataelewana kweli?Ataibia wapi kipindi cha mama hakutakuwa na ufisadi.
By the way jamaa kawekwa hapo kama mtego (aka)boya tu,ila hiyo wizara itaongozwa na VP.
Wanamtafutia natural death Huyo madelu kwenye uongozi,hiyo nafasi ni kubwa kuliko uwezo wake.Wataelewana kweli?
Vita ya uhujumu uchumi wakati Sokoine ilikuwa awamu ya ngapi? Labda ulikuwa bado hujazaliwa!Awamu ya kwanza
Unaikumbuka ile vita kali kabisa ya uhujumu uchumi wakati Sokoine akiwa PM? Au labda ulikuwa bado mtoto!Ya Nyerere