Wizkid afanya bonge la show Uingereza

Wizkid afanya bonge la show Uingereza

Uharisia ndo kitu kinawabeba sana hawa jamaa wapo real sana

Tatizo la wa bongo ni fake life
Wanapenda sana maisha ya ku fake

Kuna kitu cha kujifunza hapa kwa wasanii wetu hasa undergrounds
 
Davido anakimbizwa nasubiri ujio wake atakujaje....
Davido hawezi kurecover tena baada ya this year, kwanza ametembelea nyota ya wizkid miaka yote hii...apumzike tu
Mfano hizi O2 arena shows, wizkid ana siku tatu na zilikua sold out in minutes! Davido coming up this december hajaweza kusell out O2 hadi sasa na ni miezi tangu atoe ticket..
Burna mwenyewe hakuweza kujaza O2 ingawa watu walionekana wamejaa.
Bigwiz ni undisputed kwa Africa!
 
Davido hawezi kurecover tena baada ya this year, kwanza ametembelea nyota ya wizkid miaka yote hii...apumzike tu
Mfano hizi O2 arena shows, wizkid ana siku tatu ( ya mwisho leo) na zilikua sold out in minutes! Davido coming up this december hajaweza kusell out O2 hadi sasa na ni miezi tangu atoe ticket..

kwahyo Wiz ni kwikwi🙌😀
 
kwahyo Wiz ni kwikwi🙌😀
Wizkid namfahamu tangu 2009, davido 2011, burna boy 2012.
Kibongo bongo davido ni popular kuliko wizkid kwasababu ya ile collab na diamond + nyimbo zake nyingi ni za club scene( makelele coz hana kipaji)
Burna - nampenda ila he’s basic, aina ya mziki anafanya ipo sana Uganda. Sema nigeria ni mainstream na pia I guess ni riziki yake tu coz alipotea sana hadi kuibuka tena 2018
Wizkid - naomba ugoogle accolade zake, ni nyingi na hajitambi unlike davido na burna, hawa wangefanya aliyoyafanya wizkid tusingelala.
I could go on and on all day long...
 
mzee baba una madini....Sema mastar kibao manton wanamelewa sana Kidayo....kama hii Essence dah.....Ukikutana na Remix ft Biber aaaah🙌🙌
 
Wizkid namfahamu tangu 2009, davido 2011, burna boy 2012.
Kibongo bongo davido ni popular kuliko wizkid kwasababu ya ile collab na diamond + nyimbo zake nyingi ni za club scene( makelele coz hana kipaji)
Burna - nampenda ila he’s basic, aina ya mziki anafanya ipo sana Uganda. Sema nigeria ni mainstream na pia I guess ni riziki yake tu coz alipotea sana hadi kuibuka tena 2018
Wizkid - naomba ugoogle accolade zake, ni nyingi na hajitambi unlike davido na burna, hawa wangefanya aliyoyafanya wizkid tusingelala.
I could go on and on all day long...
Wizkid n nyokoooooh, nampenda yule starboy had nalowana. [emoji23][emoji23]
 
Davido hawezi kurecover tena baada ya this year, kwanza ametembelea nyota ya wizkid miaka yote hii...apumzike tu
Mfano hizi O2 arena shows, wizkid ana siku tatu ( ya mwisho leo) na zilikua sold out in minutes! Davido coming up this december hajaweza kusell out O2 hadi sasa na ni miezi tangu atoe ticket..
Burna mwenyewe hakuweza kujaza O2 ingawa watu walionekana wamejaa.
Bigwiz ni undisputed kwa Africa!

2016 kuna mtu aliandika hivi,ila 2018 jamaa akachafu hali ya hewa.

hawa jamaa wanajua wanachokifanya,kama ni uchawi basi wanaroga kitaalam sana.
 
Wizkid sijawahi kumuelewa kiukweli, nyimbo zake naona ni za kawaida sana ila ndio hivyo ana nyota
 
Uzi huu umejaa majungu san kwa muziki wetu . Nilichoona wabongo wengi wana wivu sana na Elimu duni.
 
2016 kuna mtu aliandika hivi,ila 2018 jamaa akachafu hali ya hewa.

hawa jamaa wanajua wanachokifanya,kama ni uchawi basi wanaroga kitaalam sana.
Nakumbuka 2017-2018 revival ya davido, but this is different
Mind you wiz na davido wana over a decade sasa na kizazi kipya kinakuja kwa kasi, ndio wana wind up hivo na ameshajulikana mwenye kipaji ni yupi.
 
Back
Top Bottom