samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Basi nisamehe bure nimepitiwa.Kaka mbona umeghadhabika? Mbona nimesema na mimi nina gari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nisamehe bure nimepitiwa.Kaka mbona umeghadhabika? Mbona nimesema na mimi nina gari.
Hapo ujue mwisho wa waandishi wa habari wa magazeti haya kuhesabu siku umefika.Hivi "juzikati" inamaanisha nini?
Mhindi kwa kazi hiyohiyo angelipwa milion lakini mbongo analipwa laki hasini we unaionajeWabongo bwana .. Sasa wanafhani Wolper atarudi tena hapo? Kitu kidogo sana ila kinaweza kuikost biashara.. Then wakiajiriwa wahindi basi malalamisha tele
Brother umewasahau Victoria nahis ndo wanaongoza Kwa kuzuia wiz huo'sheli' hapa bongo ni puma, engen na total tu
Wanaofanya hivyo ni wafanyakazi mkuu , ambao kwao cha muhimu ni mshahara wao si biashara inaingiza nini.
Wafanyakazi wa ibongo wengi si waaminifu, biashara nyingi sana wanaziharibu wao, hata kama management iko vizuri.
Kwa sababu gani sasa onakuwa hivyo?Mhindi kwa kazi hiyohiyo angelipwa milion lakini mbongo analipwa laki hasini we unaionaje
Wewe na wajuaji wenzio mnaleta ujuaji huku hamuwezi kusoma kitu rahisi na kuelewa. Kasema hivi aliona gari imepungua mafuta akaingia hapo kituoni kuongeza na kuondoka kufika mbele kidogo gari ikazima akafanya utaratibu mwingine wa kupata mafuta ndio akarudi pale kituoni. Utaratibu mwingine unaweza kuwa kutafuta bodaboda au bajaji na kumtuma akuletee mafuta.Source bongo movie? Aaah ni nilijua kweli, kumbe ni muendelezo wa upuuzi wao. Sasa gari lililozima kwa kuishiwa mafuta alirudi nalo vipi sheli, alilibeba? Kisha baada ya kuona kimenuka akatoka tena nduki na gari, mafuta ya 20000? Fuel gauge ya mark X ni mdebwedo hata ishindwe kusoma kuwa kuna wese limeongezwa? Ama huyu Wolper ni ****** kiasi ashindwe faham km anaibiwa hadi aende, arudi?
Hongera sana. Mie huwa napenda kujaza full tank. Lakini kuna siku huwa hesabu zinagoma naweka hata ya 10,000/= ili yanisogeze kidogo. Maana siyo siku zote nakuwa na pesa za kutosha.Mi mwenye kwenye Altezza yangu siwezi kuweka mafuta ya kimasikini hivyo. Mafuta ya 20,000? Not me.
Siku zipi unakuwa na hela za kutosha?Hongera sana. Mie huwa napenda kujaza full tank. Lakini kuna siku huwa hesabu zinagoma naweka hata ya 10,000/= ili yanisogeze kidogo. Maana siyo siku zote nakuwa na pesa za kutosha.
Blaza fedha imekata mtaani hiyo 20 ni sawa na lakimbiliYani mafuta ya 20 anapga kelele kama kapoteza madolali. Ustaa kaz kwel
Yani mafuta ya 20 anapga kelele kama kapoteza madolali. Ustaa kaz kwel
Siku hizi wanaishi kama mashetani....hakuna mtu laini hv sasaWalaini wakiwa mbele ya kamera.
Ila behinde the scene ni wagumu balaa.