You do not matter, wewe na watumwa wenzako tumieni hizo takwimu za waume zenu, sisi tutatumia za AfDB na bot.Naona mnaniquote nyote kwa povu bila mantiki, chagueni mmoja nitumie kuwajibu nyote kwa mpigo...hehehe maana sina muda wa kumjibu kila mmoja, nawapuuza wengine wote.
Narudia tena, natumia takwimu za hawa hawa World bank waliosema leo mpo kwenye hatua za kutoka kwenye umaskini, mkaja mbio kwa furaha, wao ndio takwimu zao za ukuaji wa kipindi cha JK na za kipindi hiki zina utofauti mkubwa, kwamba kipindi cha JK takwimu zao zilikua zinapaa.
Tumieni akili acheni mihemko.
No!mleta uzi kaleta propaganda dhaifu kwa sababu hakuna credible source ya hiyo habari halafu ninyi mazuzu mnaishobokea!Natumai ulikuwa unamjibu huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Kuna high income zile first world.Africa hamna hata baada ya miaka 10.Poland yenyewe imepandishwa level hizo majuzi.La hasha. High income inaanzia hio $ 12,000 na haina ceiling, yaani haina mwisho. Qatar kwa mfano ina Gdp per capita ya $68, 000 na bado wao ni high income tu. Hakuna viwango kwenye high income ukishafika umefika.
Umelazimishwa kuwa MTz?No!mleta uzi kaleta propaganda dhaifu kwa sababu hakuna credible source ya hiyo habari halafu ninyi mazuzu mnaishobokea!
Mauritius ambayo ni high income iko Afrika ama unadhani iko continent gani? Halafu high income ni high income. World bank haitofautishi nchi katika hii bracket. Halafu high income na first world ni the same thing ila WB wanatumia neno high incomeKuna high income zile first world.Africa hamna hata baada ya miaka 10.Poland yenyewe imepandishwa level hizo majuzi.
Tumekua kwa rate ile ile budda nakushangaa ww tu,btw Ethiopia na ukuaji wao mkubwa lakini bado hawajachomoka ldcNatumia takwimu za hao hao mabeberu ambao wamewakuna leo kwamba mtatoka kwenye umaskini na kuja huku tuliko, kipindi cha JK walikua wanataja ukuaji wenu kwenye zaidi ya 7.2% na kwa awamu ya sasa wakashusha mkang'aka sana na kuwatukana. Hivyo kwa takwimu zao kwa JK mlikua mnakuja kwa kasi sio mchezo, ila siku hizi ni makelele tu.
So kuwa Na billionaire ni development pia,Ngoja nimtag mtu hapa mwaswast kuja huku uone na uache kuita Tz ldc zen now tumeshawalipa deni lenu la ldc, ss tunaomba nanyi mtulipe hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1493018
Lakini wanasema kuanzia per capital ya $25000 ndio unakua developed anything below that unakua bado hujaivaLa hasha. High income inaanzia hio $ 12,000 na haina ceiling, yaani haina mwisho. Qatar kwa mfano ina Gdp per capita ya $68, 000 na bado wao ni high income tu. Hakuna viwango kwenye high income ukishafika umefika.
Wao wana watu 100 million. Hawatachomoka virahisi kwa sababu Gdp per capita ina uhusiano mkubwa na size ya population ya nchi.Tumekua kwa rate ile ile budda nakushangaa ww tu,btw Ethiopia na ukuaji wao mkubwa lakini bado hawajachomoka ldc
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mikenya ni mizuzu kweli kweli, lakini kwa TANZANIA HII WATAZIDI KUISOMA NAMBA.Tumekua kwa rate ile ile budda nakushangaa ww tu,btw Ethiopia na ukuaji wao mkubwa lakini bado hawajachomoka ldc
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Umewahi kufika Kenya hata siku moja ukaujua uchumi wao. Wewe inaonekana huifahamu Kenya hata kidogo.Mkuu amini kwamba hayo ni makaratasi tu ila reality ni kwamba Tz iko mbele ya kenya kitambo tu, inavigezo vyote vya kuwa middle Income, inalisha ukanda huu kitambo tu but now tumeamua kuudhihirishia dunia who we are.
Basi kwa pop yao inabidi gdp ipande $150B Ndio kielewekeWao wana watu 100 million. Hawatachomoka virahisi kwa sababu Gdp per capita ina uhusiano mkubwa na size ya population ya nchi.
Sasa utapingana aje na mimi na hii ndio mambo ninayodeal nayo kila siku. Hii website ya world bank nimeichambua kama bibilia. Hebu soma hii link, utaona kuwa world bank hawatumii neno first world au "developed" kama ulivyosema, wao wanatumia high income tu na tena hio high income haina viwango. Na hio $25,000 uliyotaja sio ukweli.Lakini wanasema kuanzia per capital ya $25000 ndio unakua developed anything below that unakua bado hujaiva
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
I know it's in Africa. Hapa ishu mmechanganya toka mwanzo.High income & first world ni vitu viwili tofauti.Mauritius ambayo ni high income iko Afrika ama unadhani iko continent gani? Halafu high income ni high income. World bank haitofautishi nchi katika hii bracket. Halafu high income na first world ni the same thing ila WB wanatumia neno high income
Hebu pitia hii classification ya WB najua itakusaidia.Kuna high income zile first world.Africa hamna hata baada ya miaka 10. Poland yenyewe imepandishwa level hizo majuzi.
I know it's in Africa.Hapa ishu mmechanganya toka mwanzo.High income & first world ni vitu viwili tofauti.
Mkuu mkenya wa kawaida ana maisha magumu sana, wanaishi maisha ya kubahatisha zaidi ya digidigi, na ndiyo maana mkenya akipata kibarua nje yanchi ana kimbia kama kafukuzwa. KIUJUMLA KENYA NI NCHI ILIYOPOTEZA MATUMAINIUmewahi kufika Kenya hata siku moja ukaujua uchumi wao. Wewe inaonekana huifahamu Kenya hata kidogo
Tony wewe ni nyang'au wa pekee sana. Majibu yako huwa yanaonesha uko humble sana. Uliza wazazi vizuri, unaweza kuta wewe ni 'kajomba' ketu.Yeye ni mgeni hapa hakufahamu.
Ni dhahiri hujanielewa sasa.Mimi sijakukatalia hoja yako.