Hayo ndio matatizo ya kupangiwa group rahisi ukishinda basi unadhani utachukua W.C. Hawa watoto wa Madona ilitakiwa hata wasije kwenye hizi fainali za 2010, mimi wala sishangai ninachokiona hapa...
Leo nimeamini watanzania hatujui mpira - si wachezaji, si mashabiki. Eti tunaacha kuishangilia timu ya Afrika, tunawashangilia Maradona na Dunga na matokeo yake ndiyo haya - chuma nne bila !
Hizi timu za marekani ya kusini zilikuja na hype kubwa na kujiamini kupita kiasi.
Argentina wasn't about the team anymore it was about maradona. His time is up and he should have let the players take the spot light and the responsibilities