World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Maradona hana tofauti na Dunga, they don't know what the hell they're doing!.
 
duh.....kumbe ENGLAND WALIJITAHIDI eeehh......naona GERMANS watalibeba hili kombe....hata soka yao inavutia jamani.....
 
Ukiangalia mchezaji mmojammoja hauwezi kuamini matokeo haya, go German go..
 
U can always trust the Germans to win against all the hype

nasubiri podolsky aliingize mwenyewe golini tu sasa
 
Hayo ndio matatizo ya kupangiwa group rahisi ukishinda basi unadhani utachukua W.C. Hawa watoto wa Madona ilitakiwa hata wasije kwenye hizi fainali za 2010, mimi wala sishangai ninachokiona hapa...
 
Wajerumani wamemfanya Mess kuwa mchezaji wa kawaida sana.
 
Inaelekea Maradona hana wasiwasi sijui anawashukuru Wajerumani kwa kuwafunga maana alitoa ahadi nzito kabla ya world cup
 
Leo nimeamini watanzania hatujui mpira - si wachezaji, si mashabiki. Eti tunaacha kuishangilia timu ya Afrika, tunawashangilia Maradona na Dunga na matokeo yake ndiyo haya - chuma nne bila !
 
Hizi timu za marekani ya kusini zilikuja na hype kubwa na kujiamini kupita kiasi.

Argentina wasn't about the team anymore it was about maradona. His time is up and he should have let the players take the spot light and the responsibilities

let them go

Manne sasa
 
Lol, hawa wakina Karl Peters ndio wanaitwa the MAIN SHAFT!!!! 4-0
 
wow......beautiful game from germans......ARGIES are rubbish......
 
Back
Top Bottom