MZIGOMZIGO
Member
- Oct 2, 2007
- 6
- 2
semeni hivyohivyo spain sio tishio,mnababaika na germany kuwafunga england na argentina bao 4,4 tusiongelea mate,watatafuta mpira kwa tochi wajerumani wakicheza na spain,spain inafungwa na timu ndogondogo vigogo wote ulaya kafunga mechi 35 mfululizo hajafungwa,kapita kwenye group lake kuja bondeni kashinda mechi zote home and away,tusubiri tusiongee sana.
......Paraguay watakula kichapo tu leo, nadhani leo ndio mwisho wao.
Hayo mambo ya utabiri wenzio tushayaacha.
Ha ha, WC ya safari hii kweli ni chiboko.mimi hata tunguri za kupigia ramli nshatupa...no more
Dah, sikujua kuwa hata huyu mama Anjela naye alikuwa pale uwanjani. Najua checkbob Klintoni alihudhuria mapambano karibu yote ya USA.
Kumbe ku-host world cup ni investment kubwa sana, kwa sabau watu heavyweight kama hawa wanakuja na ujumbe mzito sana ambao hutumia shilingi zao nyingi sana wakiwa nchini.
Inabidi Tanzania tuplani kufanya hivyo pia katika kipindi cha miaka 15 ijayo - tuandae world cup ya mwaka 2026.
Unafikiri nadharau kazi yao? Hata kidogo. Kwanza nilishaacha kushabikia timu za Africa kwasababu najua siyo hawana uwezo, ila hawana seriousness. That is not something to ask...waafrika ndivyo tulivyo. Sio mpira tu, bali ni kila kitu. Tell me what we do serious so that I could joinNdahani mbona wewe sio katika wachezaji pale, au hata hiyo timu ya nchi ya nchi yako haimo katika hizo?
Usidharau kazi za wenzio, kwani "mzigo wa mwenzako kwako kanda la usufi". Wanaotazama mpira huwa mahodari zaidi ya wale wachezaji waliopo uwanjani.
Mimi nafikiri ni kwamba Africa haitamsahau Suarez, kama huyu asingedaka mpira ni wazi lile lingekuwa goal na kulikuwa hakuna haja ya penalty wala nini ambayo ni pressure.
Ila Uruguay kwao huyu ni hero na walimbeba juu juu kuliko hata goalkeeper aliyeokoa mikwaju ya penalty
Wilting under presha!