World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

..... Timu za South America waliingia kwa kasi, lakini sasa kwishaaaaaaa kabisaaa.
 
Halafu kocha wa Spain pamoja na kushinda yeye kanuna tu. Au hajafurahia timu yake kushinda?
 
haya spain wanaume wakijerumani wanawasubiri,kwa sasa hongereni............
 

Uliona ata penati ya kwanza alipiga yeye. Kama yeye kuchagliwa kuwa mpiga penati mkuu wa timu na kocha au wachezaji ina maana ana sifa . Ni bahati mbaya alikosa.

kwanza nilimuona ni shujaaa kukosa ile penati alafu kwenda kupiga penati ya kwanza katika zile tano. Wacezaji wa ghana tofauti wa wa nigeria, camerron ivory coast wengi wanaceza kwa uzalendo na mapenzi makubwa ya timu zao za taifa.
 
Halafu kocha wa Spain pamoja na kushinda yeye kanuna tu. Au hajafurahia timu yake kushinda?

Hata alipokuwa Real madrid alikuwa hivyo hivyo, huwa anacheka mchezaji anapokosea, magoli huwa hashangilii kwanza ndiyo anageukia pembeni au nyuma.
 
tangu WC ianze nilifuatialia mechi zote, ila baada ya jana sitamani kuwa mshabiki wa mpira tena, nilipumzishwa kwa masaa baada ya Bp kupanda ati!. since mng sijawasha TV wala redio
 
Na leo hapa kazi kweli kweli, maana sasa mashabiki wa Brazil wanataka kurudisha kisasi cha kuzomewa jana, kuna barabara hapa inafungwa kabisa kwa ajili ya mashabiki wa timu hizi mbili na hapo ndiyo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…