Yule khanith* aliyepewa red ndio kapeleka kilio Afrika nzima. There was no way Hellas were the better side. Unataka kumpiga mtu teke, kateke kenyewe kaa ka shoga kanakobanwa na mkojo. Teke piga basi utoe mtu damu tuamini. Pambaf sana watu wengine...ndio maana hata tujitutumue vipi wazungu wanatudharau na wataendelea kufanya hivo.
..Ndio maana kuna Mkalamba mmoja alipata kusema kuwa waafrika tuna kasoro fulani kwenye ubongo wetu, tukamjia juu sana tu! lakini ukiangalia tukio la jana unaweza kupata picha fulani ya alichokisema. Hatuna kabisa nidhamu ya mchezo. Wewe timu yako inaongoza moja bila halafu unampiga mtu teke la kijiiinga namna ile! stup**d!
Tushasema tangu awali kwamba hawa France ni wasindikizaji tu....Zama zao zishapita.....Ndo maana hata South Afrika walienda kwa kubebwa na goli lakono la Thierry................Wish Ireland wangeenda na kuleta ushindani.....Si wachovu hawa France
Kijana kanighadhabisha sana. Sasa nafikiria hata kutopoteza muda tena kuangalia mechi za wavuta bange. Mtu anashindwa kutambua umuhimu wa tukio analoshiriki, anashindwa kujua kwamba kila dakika ya WC is multi-billion dollar issue, watu wanaacha kazi zao na wake zao kukesha usiku wa manane kuangalia kinachoendelea halafu mjinga mmoja anaharibu kila kitu within one second...Ndio maana kuna Mkalamba mmoja alipata kusema kuwa waafrika tuna kasoro fulani kwenye ubongo wetu, tukamjia juu sana tu! lakini ukiangalia tukio la jana unaweza kupata picha fulani ya alichokisema. Hatuna kabisa nidhamu ya mchezo. Wewe timu yako inaongoza moja bila halafu unampiga mtu teke la kijiiinga namna ile! stup**d!
Ndio maana wakati mwingine inabidi hekima itume sio kuendekeza hasira baadae unaanza kuregret ikiwa ni too late ..hivi mtu unashindwa kui-control hasira yako kwenye michuano muhimu kama hiyo???
Nakubaliana nawe mkuu...
Ndo kandanda inachezwa sasahivi Polokwane Stadium..Mie nashabikia France!
Enjoy the match!
Mods baada ya mechi do the needful,Asante!!
Pole sana Belinda, natumai jana ulilala kama sungura, nakushauri usishabikie timu kama France, Cameroon, Spain,South africa na Taifa stars ukitaka upate raha kuwa shabiki wa Brazil.France wamevuna walichopanda waache wakacheze ndombolo maana ndicho wamezoea, mpira France na Africa uliisha 1994 na 1998.Pole ndugu yangu.:violin: