MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 168
Wana JF ivi kuna tatizo gani kwa wachezaji wa mpira wa miguu, maana inafahamika vizuri kabisa kuwa kama kuna kosa limefanyika dhidi yako, refa yupo na anatoa hukumu papo hapo. Sasa inakuwaje tena mtu kulipiza kisasi na hali akijua kuwa kinachofuata ni kuigharimu timu.
Ingekuwa huku michangani kwetu kijijini ungesema elimu ndogo. Sasa huyu Kaita alivuta bangi, anatumia Unga au ni utovu wa nidhamu alionao?
Nisaidieni tafadhali.
Ingekuwa huku michangani kwetu kijijini ungesema elimu ndogo. Sasa huyu Kaita alivuta bangi, anatumia Unga au ni utovu wa nidhamu alionao?
Nisaidieni tafadhali.