World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

Wana JF ivi kuna tatizo gani kwa wachezaji wa mpira wa miguu, maana inafahamika vizuri kabisa kuwa kama kuna kosa limefanyika dhidi yako, refa yupo na anatoa hukumu papo hapo. Sasa inakuwaje tena mtu kulipiza kisasi na hali akijua kuwa kinachofuata ni kuigharimu timu.
Ingekuwa huku michangani kwetu kijijini ungesema elimu ndogo. Sasa huyu Kaita alivuta bangi, anatumia Unga au ni utovu wa nidhamu alionao?

Nisaidieni tafadhali.
 
Watu tumeumbwa na hasira sawa lakini, inajulikana kabisa kuwa ukiifanya hivi umeshagharimu nchi. Na pale hapakuwa na kitu cha hasira. Ingefaa watu kama hawa watiwe ndani iwe fundisho kwa wengine.
 
Yule khanith* aliyepewa red ndio kapeleka kilio Afrika nzima. There was no way Hellas were the better side. Unataka kumpiga mtu teke, kateke kenyewe kaa ka shoga kanakobanwa na mkojo. Teke piga basi utoe mtu damu tuamini. Pambaf sana watu wengine...ndio maana hata tujitutumue vipi wazungu wanatudharau na wataendelea kufanya hivo.

..Ndio maana kuna Mkalamba mmoja alipata kusema kuwa waafrika tuna kasoro fulani kwenye ubongo wetu, tukamjia juu sana tu! lakini ukiangalia tukio la jana unaweza kupata picha fulani ya alichokisema. Hatuna kabisa nidhamu ya mchezo. Wewe timu yako inaongoza moja bila halafu unampiga mtu teke la kijiiinga namna ile! stup**d!
 
Ngoja nijizuie nisije nikaandika matusi humu.
Yule ***** aliyopewa red ameleta picha mbaya kabisa kwa Nigeria na Africa nzima.
Still kuna wadau bado wanamlaumu kocha.
Nigeria ilikuwa zamani enzi za kina Rashid Yekin, Samson Siyasiya, Tijan Babangida, Sanday Oliseh, JJ Okocha nk.
Hawa wavuta bangi wa sasa ni viazi tu.
 
Tushasema tangu awali kwamba hawa France ni wasindikizaji tu....Zama zao zishapita.....Ndo maana hata South Afrika walienda kwa kubebwa na goli lakono la Thierry................Wish Ireland wangeenda na kuleta ushindani.....Si wachovu hawa France

Vipi Balantanda hujachukua fomu ya Ujumbe,pale Jangwani?
 
..Ndio maana kuna Mkalamba mmoja alipata kusema kuwa waafrika tuna kasoro fulani kwenye ubongo wetu, tukamjia juu sana tu! lakini ukiangalia tukio la jana unaweza kupata picha fulani ya alichokisema. Hatuna kabisa nidhamu ya mchezo. Wewe timu yako inaongoza moja bila halafu unampiga mtu teke la kijiiinga namna ile! stup**d!
Kijana kanighadhabisha sana. Sasa nafikiria hata kutopoteza muda tena kuangalia mechi za wavuta bange. Mtu anashindwa kutambua umuhimu wa tukio analoshiriki, anashindwa kujua kwamba kila dakika ya WC is multi-billion dollar issue, watu wanaacha kazi zao na wake zao kukesha usiku wa manane kuangalia kinachoendelea halafu mjinga mmoja anaharibu kila kitu within one second.
 
Wakulu Ndibalema, Abdulhalim, Tupo pamoja sana katika hili! Halafu dogo wetu mfoolishfoolish yule akawa ati anajitia kulia!! Yaani akijifanya ati hajui alichokosa! katika siku nilizopata kukasirika vibaya, jana ilikuwa ni miongozi mwazo. Kweli, Kushabikia Timu za Kiafrika kunahitaji Moyo...wa kiwenda wazimu wazimu hivi!
 
Hahahaaa kweli african ni ngozi ya ........... hata ukiichubua haiwi kama ya mzungu, maudhi niliyopata jana sitaki tena kuashabikia timu za kiafrica, Nigeria wameniudhi kuliko maelezo, greece hawakuwa timu bora zaidi ya nigeria lakini kwa ujinga wa hao jamaa hasa baada ya rafu ya kijinga ya Kaita timu imefungwa, hivi ni lini sis tutakuwa serious na soka? Najisikia vibaya sana.
 
Hule nii upumbuwani tu hakuna kingine wala asisingizie bangi. Tulio cheza mpira at level ya chandimu twajua vitu vilivyokua vyatokea uwanjani kuanzia matusi mpaka sexual abuses lakini hatukufanya madudu kama yale
 
Ndio maana wakati mwingine inabidi hekima itume sio kuendekeza hasira baadae unaanza kuregret ikiwa ni too late ..hivi mtu unashindwa kui-control hasira yako kwenye michuano muhimu kama hiyo???
 
Ndio maana wakati mwingine inabidi hekima itume sio kuendekeza hasira baadae unaanza kuregret ikiwa ni too late ..hivi mtu unashindwa kui-control hasira yako kwenye michuano muhimu kama hiyo???

halafu ile hacra yake ilisababishwa na nini, mie niliona mkaka wa watu kadaka mpira tena nje ya uwanja yeye kampiga teke, i was lyke huyu vipi tena? halafu likajifanya kujifunika li uso lake cjui ni aibu au kitu gani, yaani aliniboa sana.
 
Makosa ya namna hii yanafanywa zaidi na wachezaji wa kiafrika...so far three african players have been red carded...(khune, kaita, na algerian player)...

na at the end african teams zinaloose tuuu game kirahisiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.why???????????
 
Timu ambazo nilidhani zitakuwa kinara katika W/C hii zinakatisha tamaa
France na Spain sikutemea
ama kweli mpira ni dakika 90
 
Ndo kandanda inachezwa sasahivi Polokwane Stadium..Mie nashabikia France!
Enjoy the match!

Mods baada ya mechi do the needful,Asante!!

Pole sana Belinda, natumai jana ulilala kama sungura, nakushauri usishabikie timu kama France, Cameroon, Spain,South africa na Taifa stars ukitaka upate raha kuwa shabiki wa Brazil.France wamevuna walichopanda waache wakacheze ndombolo maana ndicho wamezoea, mpira France na Africa uliisha 1994 na 1998.Pole ndugu yangu.:violin:
 
Ivory Coast, Nigeria...bora kushabikia taifa stars maana unajua tu unashabikia kufungwa. Ndiyo maana mimi nashabikiaga Bolton wanderes kwa UK hapa Bongo ni Twiga Stars. Wengine upuuzi mtupu.

wanamaliza ligi bila kufungwa, wakienda nchi zingine wanafungwa kama vile wamesimama. Upuuzi mtupu. Sitaki pressure. CCM inatosha sana kunipa pressure.
 
Lack of discipline in Football Africa wanatia hasira kweli kuangalia mechi zao! sometimes unaweza hata kupiga teke meza kwa mdadi lakin tunaishia kutungua nazi au kuchezea mashavu pasipo kuingiza tonge kinywani!!.Game ya german na Serbia itakuwa nzuri kuangalia
 
_48025107_466x260_germany_serbia.jpg

Ground itakayo tumika kwa mechi mda si mrefu kutoka sasa

_48109459_germanfan466getty.jpg

Wadau Game hii ni moja kati ya game nzuri sana kuitazama ikichukuliwa kwamba Mchezo wa kwanza german walionesha mpira mzuri sana na leo Serbia anataka kufufua matumaini ya kuwepo kwenye 2nd round

_48110789_serbia_reu.jpg
 
_48105836_sanikaitaandteam-mate.jpg

Nigeria midfielder Sani Kaita had the thousand-yard stare and weary, monotone voice of a man who had quickly grasped the impact of his actions as he answered questions about the red card he was given during Thursday's match against Greece.

The match turned completely on his moment of madness after 33 minutes, with the Super Eagles 1-0 lead eventually becoming a bruising and costly 2-1 defeat.

"I am sorry for the whole of Nigeria," said Kaita, who understandably looked like he would be just about anywhere else rather than in front of the semi-circle of journalists attempting to establish with almost forensic detail his version of events.

"It was not the right thing to do and I hope it will not happen again. I made a mistake. That is all."
 
Back
Top Bottom