World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Pole zako nyingi, TeamBrazil ni timu ambayo inapendwa na wapenda kandanda wengi duniani kuliko timu nyingine yoyote ile. Hivyo leo hii walioumia kila kona ya dunia kwa matokeo haya ni wengi sana. Wengi tulidhani matokeo yangekuwa 2 - 1, 3 - 2 na mchezo ungekuwa na ushindani hadi dakika ya 90/120, kumbe dah!!!! mechi ilimalizika baada ya dakika ya 26 tu!!!

Yaani Brazil haijawahi niumiza kiasi hiki, nina wasiwasi fainal itachezwa huku helcopter zikizunguka juu.
Hapatatosha huko, hakuna wabarazil watakaoingia kuwaona wajerumani.
 
Jamani Katavi anatuhitaji sana muda huu,tumpe moyo tusimnyanyapae.Katavi njoo hapa mshkaji wangu uchague timu na mie ntashabikia hiyohiyo bhana,tufe wote au tufurahi wote.chagua timu kesho hautakosea,nakuhakikishia mkuu.
 
Last edited by a moderator:
spain alipo kula 5 watu waliongea sana eti haijawahi kutokea sasa leo tutasemaje hii ni new record kwa timu ya brazil
 

Umenena poa, wengi sana tuliipenda na tutaendelea ipenda.
Hakuna narudia tena hakuna kombe la dunia zuri kama hili na halitatokea kamwe.
 

Yaani leo haikuniuma kabisaaa hata sijui ilikuaje.......ila nna hasira na scolari amewafanya wenziwe chambo
 

Ndugu pole mi nilikuwa nachat naona magoli tu hadi kidogo nikimbie sema ndio mpira huo, leo nimeishia kucheka tu
 
Germany vs. Saudi Arabia 8-0 in 2002

Germany vs. Brazil 7-1 in 2014

Hawa jamaa nuksi kwakweli
 
What's the score boss?

Brazil 1-7 Germany (Seven)

Bernard asks Luiz Felipe Scolari what the score is


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…