hii kali Huyu DonDonald anakimbilia wapi? Au kwa Bantu lady ?
hata leo asilale nyumbani kwake. anything can happen
What's the score boss?
Brazil 1-7 Germany (Seven)
Bernard asks Luiz Felipe Scolari what the score is
Labda Tanzania tukishiriki. ...
Germans have proved to be football terrorists,they should have their own worldcup
Naomba ufafanuzi inakuwaje mechi ya robofainali timu ichapwe 7 kwa 1,ina mana mpaka imefika robo ilibebwa au
What's the score boss?
Brazil 1-7 Germany (Seven)
Bernard asks Luiz Felipe Scolari what the score is
Mkuu unajua kabisa hilo haliwezekani. ...Hapa kama ni silaha nakukabidhi kwa Moyo mkunjufu
Sana. ....
Hii Brazil itakuwa imechakachuliwa. ...Tuwapime vinasaba. ..
kipa wa brazili julio ceasar ndio asilale nyumbani, mwingine ni fred asilale nyumbani....
Hata mimi nawasapoti sitaki hii wedi kapu iendelee kabisa
Historia mbili zimewekwa leo kwa Germany kufunga magoli ya haraka haraka hasa yale ya mwanzo 5 ndani ya dakika 18.
Na ya pili ni host kubugizwa magoli 7-1 aaaww historia mbaya sana hii, haikutakiwa kuwekwa kbs.
Mimi naomba niwaage rasmi humu, nimehuzunika sana timu yangu kuniumiza hivi.
Sitatokea tena basi, nawashukuru wote humu.
Kwaherini, kila la kheri kwa wale timu zao bado zipo, tutaonana kombe la dunia likiisha. Bye!!!
Neymar saw this coming and faked his injury.
We hebu tulia kwanza yaani pamoja na haya maumivu ile kwangu tena khaaaa
Ndo matokeo hayo huna jinsi