World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

10450689_295112307327062_2027672691445814218_n.jpg
hii kali Huyu DonDonald anakimbilia wapi? Au kwa Bantu lady ?
 
7343adac-8f9e-44b8-8fd7-ab1f6aa56a97_500.jpg

David Luiz and Thiago Silva hug it out after the final whistle. (Jamie McDonald/Getty Images)
 
Huh leo ni leo, basi bana mie siangalii tena mpira nasubiria EPL na La Liga me hii hapa nuksi, sitasoma magazeti wala kufungua uzi huu hata kuandika komenti maana th Best team according to me has lost
 
Bye JF Bye hadi August tutakutana
@ invisible nipe tu BAN yangu
 
Historia mbili zimewekwa leo kwa Germany kufunga magoli ya haraka haraka hasa yale ya mwanzo 5 ndani ya dakika 18.
Na ya pili ni host kubugizwa magoli 7-1 aaaww historia mbaya sana hii, haikutakiwa kuwekwa kbs.

Mimi naomba niwaage rasmi humu, nimehuzunika sana timu yangu kuniumiza hivi.
Sitatokea tena basi, nawashukuru wote humu.
Kwaherini, kila la kheri kwa wale timu zao bado zipo, tutaonana kombe la dunia likiisha. Bye!!!

jamani pole..... naona viwango vya kuumia vimezidiana. pole sana mke mwenza
 
Back
Top Bottom