Wenye timu wamekimbia mimi nakupa kampani tu.Ww ni mamluki hehe
tupo na tumerelax#teamSpain mko wapi?
Team Spain tujuane jaman, tusikimbiane humu
Mimi nina timu mbili tu katika haya mashindano, Ivory Coast na Italy,,,,,,,,,,,hawa wengine nachagua tu wa kumshangilia mechi ikianza.
Mimi nina timu mbili tu katika haya mashindano, Ivory Coast na Italy,,,,,,,,,,,hawa wengine nachagua tu wa kumshangilia mechi ikianza.
acha hizo,kachezewa rafu mguu wa kushoto baada ya kumfinya beki kwenye 18.
Van persie waue hao spain
Nasema hawa Uholanzi wakitumia nafasi vizuri wanamkalisha huyu jamaa