World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ohhhh Van Persie waonee huruma wenzako... imegonga mwamba
 
zimefanya. Beselaaaaaaaaaaa goli limelia Zzzzzzzzzzzz! Parsie anagongesha Besela.
 
Kudadadadeeeki tumekoswakoswa tena. Hiki kibabu nuksi.....
 
_75521370_robbengoal_getty.jpg
 
2370147_big-lnd.jpg


2370143_big-lnd.jpg



2370142_big-lnd.jpg



2370131_big-lnd.jpg


2370126_big-lnd.jpg


2370124_big-lnd.jpg


2370134_big-lnd.jpg


2370130_big-lnd.jpg


2370133_big-lnd.jpg


2370122_big-lnd.jpg

The Spain bench celebrate Friday, 13 June 2014
SALVADOR, BRAZIL - JUNE 13: The Spain bench celebrate after a first half goal by Xabi Alonso (not pictured) during the 2014 FIFA World Cup Brazil Group B match between Spain and Netherlands at Arena Fonte Nova on June 13, 2014 in Salvador, Brazil. (Photo by Quinn Rooney/Getty Images)
 
Mimi nina timu mbili tu katika haya mashindano, Ivory Coast na Italy,,,,,,,,,,,hawa wengine nachagua tu wa kumshangilia mechi ikianza.

Namba moja Ghana namba mbili Holland. Ndio machaguo yangu.
 
Mimi nina timu mbili tu katika haya mashindano, Ivory Coast na Italy,,,,,,,,,,,hawa wengine nachagua tu wa kumshangilia mechi ikianza.

Bahati mbaya muda sio mrefu itabidi uchegue timu zingine za kushangilia, maana hizo timu zako muda wao soon utaisha
 
acha hizo,kachezewa rafu mguu wa kushoto baada ya kumfinya beki kwenye 18.

Unaongea kwa ushabiki, inawezekana kwa refari ikawa sawa kwa tendo na speed ya mchezo.

Replay inaonesha wazi costa amecheat....labda kama hata maanalyst huwaamini ila macho yako peke yako
 
Duh!hii kombinenga ya van magoli na babu ni balaa!mpira umegonga mwamba!hii ni mechi ya kombe la dunia!goli hadi goli,unanikosa,nakukosa,mama wee,Fernando Torres
 
Torres na pedro in, costa diego na alonso out,,,,,,,,ushindi lazima kwa spain.
 
Back
Top Bottom