Hii ya Brazil kushinda leo nina hofu sana!
Ni ngumu sana!
dakika ya nyongeza ni moja tu, ukizingatia kulikuwa na break ya kunywa maji, hii kali.
Nipo poa kabisa my dear..... natamani hawa wafaransa watandikwe Tatu bila
Halafu refa wa leo anakwenda na time du,ina maana hakuna hata tudakika tulitopotea?
Maswaliii.....
me nimeshangaa Niko busy na kisim nashangaa matangazo hayo naambiwa ni half time
me nimeshangaa Niko busy na kisim.......
hahaha zanta hujatulia....lol
Hakunaaa...kazi imeisha tunasubiri tu mpambano kati ya Germany vs Colombia
Eh nimestuka!