chuji, na bocco wangeng'aa wangekuwepo kwenye ile timu? are you serious?
Kumbuka maradona alikuwa habebwi na wale, isipokuwa yeye ndiye aliyekuwa anawabeba wale ma star. Messi hakuna kitu amecheza soka kipindi soka limeenda chini, eti super-stars neymar, CR 7, Rooney, hahahahahaha..........
Ni kufuru kumfananisha Maradona na Messi
haitwi thiago silver anaitwa thiago silva huyu kama umeamjua mda utasema kiwango kashuka unamkumbuka wa ac milan waulize barcelona
Hunterlaar anakuja kumaliza mechi
Burruchaga na Valdano wame m beba Maradona mara kibao!!Ile Argentina hata Ngassa angetamba kaka
Kumbuka fainali za kombe la dunia 1990 ile 3-2 dhidi ya mkoloni!Messi HANA wasaidizi wazuri wakati Maradona alizungukwa na wataalam kibao