World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hivi Bossman kweli kabisa unadhani Brasil ataweza ku-recover kutoka kwenye kichapo cha jana?

Sidhani kwa kweli. Sasa hivi taifa lote limevurugwa kabisa na sitegemei washinde mechi ya mshindi wa tatu hiyo Jumamosi.

Itachukua miaka mingi sana kwa Brasil ku-recover. Kile kisago kilikuwa out of this world bana......si masikhara.

Hivi kwanza wataji-motivate vipi kwa hiyo mechi?

ukiwa big team hapo ndo kazi ilipo...kujilazimisha ku recover fast..but I am sure hawatakubali kipigo kingine kikubwa...
 
Ila najua c. Ronarldo atakuwa amevunja tv yake kuona messi anaenda kucheza wc fainali.
Inauma kuona hasimu wako anachukua credit ambayo kwako ni ndoto za mchana
 
ukiwa big team hapo ndo kazi ilipo...kujilazimisha ku recover fast..but I am sure hawatakubali kipigo kingine kikubwa...

Oh noooo....kile kipigo hakikuwa cha kawaida ndo maana hata Wajerumani wenyewe bado hawaamini. Mi mwenyewe bado siamini yaliyotokea.

Yaani ndani ya dakika sita mtu unafungwa magoli manne kwenye soka? Tena unacheza nyumbani kwenu....halafu unaishia kudungwa 7.....

Halafu kibaya zaidi ni kwamba, kwa jinsi ilivyokuwa inaonekana ni kana kwamba Ujerumani ingeweza kufunga magoli zaidi ya saba kama kweli wangetaka.

Kilichotokea jana si hali ya kawaida katika soka ndo maana Wajerumani inabidi wawe makini sana kutoruhusu hayo matokeo yawafanye wawe complacent.

Na Jumapili kwenye fainali hakutakuwa na magoli mengi kama hayo ya jana. That I'm willing to bet my money on.

Anyway ngoja niende nikakurekebishie mtonyo wako bana.....
 
Last edited by a moderator:
Ila najua c. Ronarldo atakuwa amevunja tv yake kuona messi anaenda kucheza wc fainali.
Inauma kuona hasimu wako anachukua credit ambayo kwako ni ndoto za mchana
na messi akija kuchukua jiwe la wc ndio kitamuuma zaidi
 
Jumapili saa4 usiku kaz ipo. Dawa ni Argentina kukaza na kuonyesha nidhamu, naamini Mjerumani atakuwa namba2! Takwimu zinaonyesha tangu WC2014, German wameruhusu nyavu zao goli4 tu. Argentina wameruhusu goli2 tu! Hii inaonyesha kila timu ina ukuta wa zege
 
Back
Top Bottom