The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Hivi Bossman kweli kabisa unadhani Brasil ataweza ku-recover kutoka kwenye kichapo cha jana?
Sidhani kwa kweli. Sasa hivi taifa lote limevurugwa kabisa na sitegemei washinde mechi ya mshindi wa tatu hiyo Jumamosi.
Itachukua miaka mingi sana kwa Brasil ku-recover. Kile kisago kilikuwa out of this world bana......si masikhara.
Hivi kwanza wataji-motivate vipi kwa hiyo mechi?
ukiwa big team hapo ndo kazi ilipo...kujilazimisha ku recover fast..but I am sure hawatakubali kipigo kingine kikubwa...