Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kwani hawa jamaa ni waafrika au waarabu? Algerians are Arabs not Africans!
But are in the African contnent!! Aren't they? So they are Africans irespectuve of their ethnicity.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hawa jamaa ni waafrika au waarabu? Algerians are Arabs not Africans!
Jamaa wamerudisha moja wanaweza rudisha magoli yote
goli zuri sana one two kibao..Ninachokiona second half,Korea baada ya kubanwa mpira wao wa pasi za la4,Algeria 4jamani
tena sana mno..,Algeria 4,goli zuri sana.nimewapenda hawa jamaa.wajanja
Hakuna lolote tuangalie tu tujifurahishe
Sipati picha Benzema huko aliko,anapataje mzuka!Ecuador wajiandae
Na kaka yake Zizu ZidaneSipati picha Benzema huko aliko,anapataje mzuka!Ecuador wajiandae
Algeria 4,goli zuri sana.nimewapenda hawa jamaa.wajanja