World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwani hawa jamaa ni waafrika au waarabu? Algerians are Arabs not Africans!

But are in the African contnent!! Aren't they? So they are Africans irespectuve of their ethnicity.
 
Ninachokiona second half,Korea baada ya kubanwa mpira wao wa pasi za la4,Algeria 4jamani
 
Sipati picha Benzema huko aliko,anapataje mzuka!Ecuador wajiandae
 
Inaonekana kuna Algerians wengi hapo uwanjani. Sijui ingekuwa taifa stars watz wangapi wangeenda Brazil
 
10481948_911359158879932_7901710712247619500_n.jpg



10501601_911359165546598_2830063118477552487_n.jpg



10487435_911359135546601_8879707768854742469_n.jpg




10354753_911359142213267_2605404468687442124_n.jpg
 
Korea wanarudisha bao la 2...

Hawa Algeria wanaweza kuruhusu yote yakarudi...
 
Algeria 4,goli zuri sana.nimewapenda hawa jamaa.wajanja

Nilikuwa naelezea nionacho second half,Korea waliamua kucheza mipira mirefu iliyowapa wakati mgumu algeria wakarudi nyuma deep,hilo likawapa nafasi zaidi Korea kushambulia hadi kupata goli,lakini hawa algeria wajanja sana,wamestuka mapema na sasa wametanua eneo la ukabaji hadi katikati huku wakimchunga yule mkorea anayesubiri kupokea long balls na pia wakifanya mashambulizi ya kustukiza,hivyo wakorea nao wamepunguzwa nguvu ya kushambulia mfululizo.dah,Algeria wanafungwa goli la pili la kipuuzi mno!
 
Back
Top Bottom