World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

Nani kutwaa ndoo 2026?


  • Total voters
    36
  • Poll closed .
Wachawi mko wengi Messiah atawanyoosha mwaka huu mpaka mkonde
Huu siyo uchawi. Huu ni uhuru tu wa mtu kujiamulia aishabikie timu gani, au amshabikie mchezaji gani. Binadamu hatufanani. Ukiishi kwa mtazamo huu, maisha hugeuka kuwa mepesi sana.
 
Inachofanya SPAIN...ni kumweka MESSI mbali na 18 yao...
 
Messi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣messi🤣🤣🤣🤣🤣kapoteana
 
Spain mechi zote na mtoano lazima beki wa timu pinzani aumie na ashindwe kuendelea na mchezo na baada ya hapo wanashinda. Tayari beki wa Argentina ameumia. Spain wanashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…