Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Naunga mkono hojaKitendo cha kufanikiwa kuingiza World Cup Qatar ni Pigo kubwa sana kwenye Ulimwengu wa Kiislamu
Sheria za Qatar haziangalii dini ukitaka uzifate hutaki baki kwenuKwani wote wanaoenda Qatar wana dini?
Hata nyie anzisheni yenu yamashoga watupu na walevi au LGBTQ+Acha ujinga wewe. Kama hivyo si mngeanzisha world cup yenu mchezaji lazima awe na udhu na midevu.
@YEHODAYA Yoda JackalHapo Kwa kweli sioni dini, Bali naona maadili mema kabisa.....hata mm mkristo nakubaliana na Qatar.
Leo hii wakristo tumekuwa watu wa ajabu Sasa tunafundishwa misimamo ya kiimani na Waislamu, sisi tumebaki tunachezacheza na comedy za dini.
Tumeanza na kusapoti mambo ya kijinga sana
Siweweseki natumia logic sio kama wewe shabiki kama ambavo hua napinga habari za kuepo kwa watumishi manabii awa wanao walia watu Hela ndio napinga na ushabiki wenu wa dini tulizoletewa kama sio shabiki jibu hoja je mababu kabla ya mwarabu kuja wote hawaendi mbinguni?Mbna unaweweseka ww,naona umejifcha lkn chuki zako zipo dhahiri
Thare you are!Naunga mkono hoja
Maana hata hayo wanayoyazuia hawatafanikiwa kwa hata 50%
Ilitakiwa wasilihost kabisa hilo kombe kama kweli wanapingana na yaliomo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siweweseki natumia logic sio kama wewe shabiki kama ambavo hua napinga habari za kuepo kwa watumishi manabii awa wanao walia watu Hela ndio napinga na ushabiki wenu wa dini tulizoletewa kama sio shabiki jibu hoja je mababu kabla ya mwarabu kuja wote hawaendi mbinguni?
Af mbona Kuna vitabu vipo kwny Quran na bible means mungu ni yule yule isipokua wakristo wameamua kumuona yesu kama nabii wao mkuu na mwokozi kama ambavyo Kuna watu wamewaacha wote yesu na Mohammed na kumuamni eliah ko sijui kosa liko wapi apo
Mungu na mitume yake sio washirika Allah hana mshirikaKafiri ni yule asieamini uwepo wa Mungu na washirika wake
Kwamba waingie uwanjani kucheza huku wamevaa kobazi,kanzu na baraghashia.
#MaendeleoHayanaChama
Una chuki sana na Uislam ndugu yangu, tatizo nini kama walikuchukulia mke wasamehe bure.Mbona msiingie uwanjani mcheze kama mumevaa hayo makanzu na makobaz....
Ngoja tudeal na mashoga halaf tutaingia na kanzu na kobaz kwa uwanja usijaliMbona msiingie uwanjani mcheze kama mumevaa hayo makanzu na makobaz....
Alioa mtoto yupi kwaushahidi upiMuhammad huyu huyu aliyeoa vitoto? hapo hakuna cha unabii wowote. Muhammad alikuwa ni military leader ila siyo kiongozi wa dini.
Una chuki sana na Uislam ndugu yangu, tatizo nini kama walikuchukulia mke wasamehe bure.
Ngoja tudeal na mashoga halaf tutaingia na kanzu na kobaz kwa uwanja usijali
Ila ukiwa MUISLAM utastirika sana MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri kwneny Quran mpaka yesu yupo ko kama tumeamua kusoma kuishia kwa yesu shida ikwap anaetaikiwa kuabudiwa n mungu na sio Mohammed"Mwenyezimungu hawezi kumuadhibu yoyote mpaka apelekewe ujumbe au ujumbe umfikie "rejea suurat "israa"hivyo ndivyo waislamu wanatakiwa kuamin
Hakuna haja ya kufundishwa misimamo ya kiimani na waislamu sababu biblia ninayoiamini inajitosheleza.Judeism na ukristo ulikuwepo miaka mingi kabla ya uislamu.Uislamu ulikopi baadhi ya vifungu vya biblia nakupotosha.Mfano wanasema mtoto wa Ibrahim aliyetaka kutolewa sadaka ni Ishmael wakati biblia inamtaja mtoto aliyetaka kutolewa sadaka ni Isaka(Hii inapatikana kitabu cha mwanzo)
Uzuri kwneny Quran mpaka yesu yupo ko kama tumeamua kusoma kuishia kwa yesu shida ikwap anaetaikiwa kuabudiwa n mungu na sio Mohammed
Una chuki sana na Uislam ndugu yangu, tatizo nini kama walikuchukulia mke wasamehe bure.
Sikuelewi wewe kama unalo hilo andio ndio ulete hapa "Yesu kasema mwenyewe ni Mungu na aabudiwe" kama unakubaliana na Dr Zakir kwa hilo andiko kwenye biblia hakuna basi wewe utakuwa umekaribia sana kuwa muislam bado upewe shahada.Wewe chizcom amechallenge katika biblia kama kuna Andiko lisemalo "Yesu mwenyewe alijiita Mungu na Aabudiwe" mpaka leo andiko hilo halijatoka kwenye biblia.
Kama andiko unalo hem tupatie MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhammad wanajadili jambo na Allah mpaka wakubaliane ndio lije kwa waislamu, Sasa huyu ni binadamu au ni mungu wenu piaUzuri kwneny Quran mpaka yesu yupo ko kama tumeamua kusoma kuishia kwa yesu shida ikwap anaetaikiwa kuabudiwa n mungu na sio Mohammed