Wosia wa baba - John Pombe Magufuli

Wosia wa baba - John Pombe Magufuli

Wakati mwingine ni bora tungewaacha tu wakoloni waendelee angalau tungekuwa na ajira tele maisha bora huduma bora za kijamii kuliko kuongozwa na chama hichi asili yake ni muunganiko wa vyama vya kichawi vilivyomwendea shetani awasaidie kuwaondoa wakoloni.Tabu tupu unakufa kwa kukosa panadol ya 500.
 
Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Tanzania ni masikini huku wazungu wanachukua utajiri hapa hapa nchini.

R.I.P JPM
Wanaowapatia hao wazungu huo utajiri ni kina nani..? Jibu ccm na mwendazake akiwa miongoni mwao...mchana wanahuburi kujitegemea usiku wanawapigia magoti kuomba mikopooo...ukitaka kuamini kaangalie kiwango alichokopa tokea aingie madarakani
 
Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu

Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani



Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake

View attachment 1849270


Tunakumiss ila tunakushukuru kwa kutuachia chuma kingine Samia Suluhu Hassan, Mama wa taifa.
Mama anasema KAZI IENDELEE [emoji123]
Ungeishia kwa huyo mmoja ulivomalizia haitoki moyoni...
 
Wanaowapatia hao wazungu huo utajiri ni kina nani..? Jibu ccm na mwendazake akiwa miongoni mwao...mchana wanahuburi kujitegemea usiku wanawapigia magoti kuomba mikopooo...ukitaka kuamini kaangalie kiwango alichokopa tokea aingie madarakani
Utakuwa unaishi Nyuma ya wakati wako.

Huwezi kabisa tofautisha mkopo na kujikomba?

Mkopo ni sawa tu na kwenda kununua dukani kwa mangi, yaani yeye anafanya biashana na wewe ni mteja, na mteja ni mfalume.

Mengine endelea kujiweka sawa ili uwe ndani ya mda wako.
 
Ila nakuhurumia san kupambania legacy ambayo inafumuliwa kila kukicha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama D, ukweli ni kwamba anyemsifu sana magufuli amempunguzia sifa mama Samia. Na anyemsifu sana mama Samia amempunguzia sifa Magufuli. Anayewapa sifa sawa huyo ni mnafiki wa kiwango cha juu sana kama ni joto basi kitayeyusha chuma!
 
Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu

Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani



Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake

View attachment 1849270


Tunakumiss ila tunakushukuru kwa kutuachia chuma kingine Samia Suluhu Hassan, Mama wa taifa.
Mama anasema KAZI IENDELEE 💪

Mama D,
Huo msiba hautakuja kuusahau mpaka maiti yakufike,inaonekana kula kwako na maisha yako yote ulikuwa unategemea,pole sana kalibu kusahau na ufungue genge la chakula pale stendi mpya Chato.
 
Ungeishia kwa huyo mmoja ulivomalizia haitoki moyoni...

Haitoki ndani ya moyo wa nani!?

Kitakachokuua kwa ugonjwa wa moyo ni kulazimisha mawazo yako yafanyiwe kazi na watu wengine

Hizi akili zenu za kukopa hazijawahi wasaidia




Wacha mama awanyooshe tuu hamna namna
 
Kuna watu wanafikiria Tanzania kuwa nchi maskini ni sifa kwa mabwana zao
Sikia neno hapa


View attachment 1848789
Ukifikiri vizuri, kwa utulivu - kwa upana na urefu na kina; there is only one conclusion; Umaskini wa Tanzania unatokana na CCM, Yaani CCM ndio mhimili wa umaskini wa nchi na wananchi wa Tanzania - kwa sera mbovu, uongozi mbovu na ukosefu wa dira na welede ambao umejikita katika kila ngazi ya CCM.

Hivyo ili kuondoka na umaskini lazima CCM iondoke madarakani - kwa njia za kisheria (hasa hili la Katiba) au kwa njia nyinginezo. Hapo ndipo Tanzania, seriouly, itaanza kuondoka kwenye umaskini.

Hizi legacy za mwendazake mnapata tabu sana kuzitetea, maana hazina miguu wala uhai ndani yake. Ni ulevi wa waliooshwa akili/ufahamu tu.
Nafikiri unajua wazi kuwa hayati Magufuli alibumba takwimu kuonesha uchumi unapaa, ufisadi umekomeshwa na eti kuna "maendeleo" nk, ilichukua chini ya siku 60 tu toka afe kwa hizo propaganda kusambaratishwa.

1) Rejea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali - Bandari, Wizara - kama Maliasili, Nishati, Afya, Fedha; Mashirika ya Umma, Taasisi -mfano Zimamoto, Polisi nk na Halmashauri zaidi ya 40 jinsi hela zilivyopigwa kwenye malipo, manunuzi na miradi "hewa".

2) Hotuba ya Mh. Rais Samia, kuwa hali ya uchumi si nzuri. Na uchumi ulikuwa unakuwa kwa asilimia 4.7 badala ya 6,7-7 za hayati Magufuli.

3) Yaliyojiri kwa Bunge la Bajeti - yalionyesha ombwe la uongozi wa awamu ya 5. Yalionyesha jinsi uongozi mbovu wa CCM unavyoendelea kulididimiza Taifa letu. And by the way, umeona quality ya Wabunge na michango ya wabunge wa hayati Magufuli? Lile halistahili kuitwa Bunge la JMT bali la hayati Maguguli.

4) Somo Jipya la Historia ya Tanzania (Revisionism) - hata vitabu vya hiyo historia ya Tanzania vilichapwa na vilikuwa vianze kutumika mwezi huu wa Julai mashuleni.

5) TRA kufungua bank accounts walizokuwa wameiba na kudhulumu watu.

6) Kufumuliwa na kutupwa kesi lukuki za kubambikia - Rufaa ya Viongozi wa CHADEMA na faini ya shs 350m, kesi ya Mdude, na nyinginezo nyingi

7) Taifa kuvuta hewa mpya, fresh kwa mara ya kwanza toka 2016. Yako mengine mengi,ila kwa sasa tuko kwenye Katiba Mpya.

Kwa kifupi, tunamshukuru sana na kumtukuza Mwenyezi MUNGU kwa kumwondoa Magufuli. Legacy yake ni kuwa alikuwa mtu mbaya, katili, kichaa, asiye na weledi wala uwezo wa kuongoza. Matendo ya BWANA ni ya haki na kweli, na hiyo ndiyo alama na kumbukumbu tuliyonayo sisi wenye akili njema na wenye upendo wa dhati na nchi yetu.
 
Wakati mwingine ni bora tungewaacha tu wakoloni waendelee angalau tungekuwa na ajira tele maisha bora huduma bora za kijamii kuliko kuongozwa na chama hichi asili yake ni muunganiko wa vyama vya kichawi vilivyomwendea shetani awasaidie kuwaondoa wakoloni.Tabu tupu unakufa kwa kukosa panadol ya 500.
WAAFRIKA HAWAWEZI KUJITAWALA DEMOCRATICALLY PASIPO NA MKONO WA CHUMA, SIMPLY KOZ MOST ARE NOT CIVILIZED.
 
Kubuni
Tatizo lenu hamjui kua serikali huweka mikakati ya kimaendeleo kati ya miaka 10-50 na kuendelea so hilo la sgr hajabuni yeye ni moja ya mpango mkakati
ni jambo jingine na utekelezaji ni jambo jingine pia .
 
Back
Top Bottom