Wosia wa baba - John Pombe Magufuli

Wosia wa baba - John Pombe Magufuli

Kama nchi hii ni tajiri kwa nini aliunda kikosikazi cha kuwapora matajiri
 
Weye huwa hauna akili zinazojitegemea.Upoupo tu kama kipolo cha ugali wa muhogo.Umevaa gagulo hapo ulipo au umefwafwansika tu?😝😝😝😝😝

Huyu ndio John Pombe Joseph Magufuli Mwamba na Rais wa karne

Aliyoyafanya dunia inayatambua wewe baki na Tundu lako kichwani


 
Mtu anafile milembe na akapewa nchi kumbe ndo mana mama anasema anataka ajenge uchumi means kichaa aliivuruga sana hii nchi. Anyway ngoja tuendelee kudai katiba mpya ili huu upuuzi wa usijirudie
 
Hivi kumbe namjibu "MALIHEMU"
Nimekupuuza mazima wewe nenda tuu katafute mtoto wa darasa la pili akufundishe kuandika
You are quite pompompo!Unaelewa maana ya hizo alama "..."?Hautonielewa hadi uvunje ungo.Very stupid!😝😝😝😝😝
 
Matusi hayakusaidii. Ukweli unabaki palepale. Marehemu dikteta alitesa sana watu. Hata wana CCM wenzie waliona lakini dikteta alikuwa ameshika mpini. Kichaa alipewa rungu. Hata Samia aliyekuwa makamu wake aliona na anarekebisha. Wewe kidampa tu unatetea ubatili huo. Hata angejenga mabarabara yote Tanzania yakawa lami, kwa tabia yake ya udikteta bado tungemsema. Endelea kutetea ubatili wako. Usitukane watu. Sisi wengine tunamshukuru Mungu kwa kazi yake ambayo haina makosa.
Ndio umemaliza faragha!?
 
Dialo mwenyewe ndio kichaa 😂😂
Rais anasema nchi ni tajiri, lakini anaenda kupora fedha za watu kwenye Bureau de change na bank ili aendeshe nchi! Zile rasilimali zetu tunazoaminishwa tunazo, mbona haziuzwi kutupunguzia hii double taxation kwenye line za simu? Tuliambiwa tuna gas nyingi sisi sijui ni wa ngapi, mbona gas ni ghali sana hapa kwetu? Au utajiri wa nchi hii ni wa kishirikina, hivyo sisi tusio washirikina hayuuoni?
 
Hivi unajua hata kuandika kiswahili kweli? Unajitahidi kumtetea shaitwani lakini ngoma inagoma.Very stupid![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

wewe unajua kuandika kiswahili lakini umeshindwa kutumia mwandiko kuondoa dhiki zako.
 
Hii nchi ni tajiri, Tanzania ni Tajiri sana ndugu zangu

Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani



Hata wasiompenda kwa kuwabana kwa maslahi ya taifa wanakubali kazi zake

View attachment 1849270


Tunakumiss ila tunakushukuru kwa kutuachia chuma kingine Samia Suluhu Hassan, Mama wa taifa.
Mama anasema KAZI IENDELEE 💪

Hivi uchunguzi kuhusu waliompiga risasi Lissu ulishafanyika? Uchunguzi kuhusu Ben Saa8, aliyekukuwa anahoji 'setifiketi' ya m2 fulani umeshafanyika? Hivi ile 1.5T imeshajulikana ilipo? Hivi ile 20,000 za wamachinga ziliingia kwny account ipi? Kwanini cku hivzi hatusikii tena habari ya vitambulisho vya machinga? Hivi mh. rais Samia aliposema anarekebisha mahusiano ya kimataifa na uchumi nani aliye haribu? Hivi zile dawa za corona toka Madagascar za propesa Kabudi zimeishia wapi? Hivi corona virus waliingia Tz baada tu ya march 17, 2021? Hivi Sabaya bado ni dc wa Hai?
 
Back
Top Bottom