Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Mtayasema mengi lakini hayataubadilisha ukweli:
1) marehemu aliwahi kupatwa na tatizo la akili. Mara 2 lilionekana wazi
2) mara moja alitibiwa Mirembe na mara moja Ujerumani
3) ana baba zake wadogo wawili, wapo Bukoba, wote wana matatizo ya akili. Kwa hiyo inawezekana ni tatizo la kurithi
4) tatizo la akili, ni vigumu sana kupona moja kwa moja, japo kuna wakati mtu huwa perefect lakini kuna wakati linaweza kumrudia, na ni vigumu kutambua labda, liwe extreme.
5) mtu ambaye amekwishawahi kupatwa na tatizo la akili, haikuwa sahihi kumpa madaraka ya mwisho, alistahili kufanya kazi chini ya mtu mwingine.
6) kwa msingi wa kisheria, mtu yeyote akifanya ouvu, lakini akathibitika kuwa hakuwa kwenye utimamu wa akili, mtu huyo huachwa huru. Kama marehemu angekuwa hai, hata angetenda uovu kiasi gani, historia yake ya afya ya akili inamuondolea uovu wote, na badala yake kosa hilo wanaobebeshwa ni wale walioruhusu mtu mhonjwa wa akili kupewa wajibu mkubwa kiasi kile.
7) kuna siku, kutokana na uzoefu wa uongozi wa awaku ya 5, hitaji la kuwapima watu afya ya akili, litawekwa kwenye katiba.