Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kuna muda nikikaa kuna mawazo yanakuja na kuniambia huenda kifo cha mzee Magufuli kilikuwa na mkono wa watu kadhaa.Dialo amesema huyu alikuwa kichaa,sasa kichaa anatoaga wosia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda nikikaa kuna mawazo yanakuja na kuniambia huenda kifo cha mzee Magufuli kilikuwa na mkono wa watu kadhaa.Dialo amesema huyu alikuwa kichaa,sasa kichaa anatoaga wosia?
Report ya CAG masikini 1.5trl ikamng'oa Assad jaman, daahTutamkumbuka kwa mengi sana aliyotutendea Hayati JPM
Biashara ya dawa za kulevya ilishamiri sana nchini, alipoingia Jpm biashara ikakomeshwa haswa.
Wimbi la ujambazi na uvamizi wa vituo vya polisi na kupora silaha aliukomesha mara moja ikiwemo hata ugaidi wa kule Kibiti
Reports za CAG enzi hizo ilikuwa kila mwaka lazima ioneshe Serikali inavyopoteza mapato kwa kulipa watumishi hewa, alipoingia JPM alishughulika na hilo ipasavyo
Ameanzisha mifumo ya ukusanyaji kodi kwa kupitia ulipaji wa control number ambayo imeimarisha sana namna nzuri ya kukusanya na kudhibiti uvujaji wa mapato.
Alijitoa muhanga kudhibiti utoroshaji wa madini yetu, ambapo makampuni yalikuwa yakitorosha na hvyo Serikali kukosa kodi
Sekta ya miundombinu imeimarika sana ktk awamu yake, tumeshuhudia ujenzi wa barabara kiwango cha lami mitaani na barabara kuu za kuonganisha mikoa, Wilaya na vijiji
Sekta ya Afya nako tumeshuhudia ujenzi wa vituo vingi vya afya na kuimarisha usambazaji wa madawa na vifaa tiba
Enzi zile za miaka nyuma tulishuhudia mpaka Twiga wakitoroshwa kwenye ndege, tembo wakiuawa, ikafikia hatua mpaka ujio wa Rais wa China nchini ukiingia kwenye kashfa ya kuondoka na pembe za ndovu.
Ila alipoingia jembe Magufuli haya yote yalibaki historia
Pamoja na madhaifu yake machache lakini kiukweli MAGUFULI amepiga kazi, ameonesha ujasiri wa hali ya juu ktk kushughulikia changamoto ambazo tuliona ni ndoto kutatuliwa, ameonesha nia na uzalendo wa kupambania kulinda rasilimali za nchi ili ziifaidishe nchi
RIP JPM
... hujamtendea haki Mh. Diallo; mpe heshima yake anayostahili.Dialo amesema huyu alikuwa kichaa,sasa kichaa anatoaga wosia?
Diallo huyu ambaye ARV zimeisha anza kuota manyoya ndani ya mwili wake ????Dialo amesema huyu alikuwa kichaa,sasa kichaa anatoaga wosia?
Una maanisha nini?Imeisha hiyoo
Kuna mawakala wao humu humu nchini, na ndo hao wanaojaribu kumchafua hayati kwa kuwa aliwabana kila eneo.Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Tanzania ni masikini huku wazungu wanachukua utajiri hapa hapa nchini.
R.I.P JPM
Duh!! Siamini Kada kwa Kada wakizodoanaDialo mwenyewe ndio kichaa 😂😂
Kikwete alikwisha kamilisha mipango yote ya ujenzi wa sgr. Kama ingefuatwa leo hii tungekuwa tungekuwa tumeanza kuitumia. Mwendazake akaachana na hiyo mipango na kuja na yakwakwe. Kwa mwenendo huu,ujenzi utachukua miaka mingi sana kukamiliaka.Swala la SGR hili kila mtu ameona . ... Ujenzi umeanza na JPM. Hilo nalo mnataka kupindisha?
We taga unasumbuliwa na chuki kwa matajiri kama alivyokuwa baba yako mwendazake. Ujambazi wa Magufuli kila mpenda haki anaujua...wote tumeshuhudia kwa macho yetu..tumesikia kwa masikio yetu.Duh!! Siamini Kada kwa Kada wakizodoana
Dr. Anthony Mwandu Diallo..........CEO Sahara Media
Dr. John Pombe Joseph Magufuli....Former URT president (2015-March 2021)
Mtu aliye hai tena kwa dharau na chuki za bayana anamtukana na kumsema vibaya mtu ambaye hana pumzi ya kusikia, kuona, kuhisi, kuonja, kugusa na kufikiri.
Hicho chama cha mapinduzi bila shaka kina watu waliokosa maadili na sio waaminifu.
Shujaa yeyote humkemea mhusika wakati akingali hai, haogopi kupoteza uhai wala kudhurika yeye alikuwa wapi kama sio uoga wa uharifu angeshughulikiwa zaidi?
Wewe ndiye jambazi la kutupwa unamtetea asiye na chembe ya uadilifu.We taga unasumbuliwa na chuki kwa matajiri kama alivyokuwa baba yako mwendazake. Ujambazi wa Magufuli kila mpenda haki anaujua...wote tumeshuhudia kwa macho yetu..tumesikia kwa masikio yetu.
Kichaa gani anaweza kushusha nondo za hivyo?Dialo amesema huyu alikuwa kichaa,sasa kichaa anatoaga wosia?
Marehemu mwenyewe alikuwa anajitambua kuwa na tatizo la ukichaa, wewe utapingaje?Dialo mwenyewe ndio kichaa [emoji23][emoji23]
Utanyooka wewe. Subiri Rais wa kwanza mwenye jinsia ya kike akuonyeshe vile kazi inaendelea
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Marehemu mwenyewe alikuwa anajitambua kuwa na tatizo la ukichaa, wewe utapingaje?
"Wewe Mpina nimekuteua kwenye nafasi hii maana weweni kichaa mwenzangu" - marehemu Magufuli.
Duh!! Siamini Kada kwa Kada wakizodoana
Dr. Anthony Mwandu Diallo..........CEO Sahara Media
Dr. John Pombe Joseph Magufuli....Former URT president (2015-March 2021)
Mtu aliye hai tena kwa dharau na chuki za bayana anamtukana na kumsema vibaya mtu ambaye hana pumzi ya kusikia, kuona, kuhisi, kuonja, kugusa na kufikiri.
Hicho chama cha mapinduzi bila shaka kina watu waliokosa maadili na sio waaminifu.
Shujaa yeyote humkemea mhusika wakati akingali hai, haogopi kupoteza uhai wala kudhurika yeye alikuwa wapi kama sio uoga wa uharifu angeshughulikiwa zaidi?