Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Alinajisi uchaguzi ili kuua nguvu ya kuhoji, akajaza wanaccm kwenye maeneo ya uwakilishi, hao wanaccm aliowaweka wahoji huu uhuni.
Mkuu nachokupendea huwa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe bila kuangalia chama.
Hili suala huwa linshangaza, yaani JPM alijaza Wana CCM kwenye mabaraza yote ya uwakilishi kuanzia vitongoji mpaka bungeni!! Cha kushangaza mambo yanafeli wanaanza ooh tutamkumbuka JPM.

Sasa Cha kujiuliza kama JPM alikua makini, kivipi aweke viongozi wasioweza kumsimamia Mama? Hilo bunge la JPM mbona halihoji haya mambo?? Au tunakubaliana JPM hakua na vision kabisa!!
 
Alikuwa anaunya? tuseme alikuwa akitumia miujiza? kulikuwa na ukame lini katika ile miaka mitano ya dhalimu? dictator uchwara aliyekufa kibudu kwa covd 19

Nature balances itself wewe...yule jamaa Mungu ampumzishe kwa amani ila ame set standard mafisadi mnaopenda pesa hamuwezi ifikia mtabaki kurusha matope kwenye feni....kwa kifupi nchi imewashinda kwa chuki na tamaa zenu....na Magufuli bado anang'ara....

Miaka 60 ya uhuru slogan ni ileile ukame....ni albu...shame upon you....

Magufuli aliwaumbua..alituonyesha michezo mingi sana ya kishamba iliokuwa ikifanywa...ili watu waingie kwa mgao wa maji na umeme...
 
Standard ya kupiga wapinzani na kuiba chaguzi
 

Hawana majibu ya hili, wataishia kuleta porojo. Kwa maneno marahisi Magufuli alikuwa jeshi la mtu mmoja, na akajaza waoga ili awatumie kufikia lengo lake la kukaa madarakani muda autakao.
 
tutajie idadi ya mafisadi waliofungwa kwa ufisadi wao basi
tutajie sheria alizoshawishi zitungwe ili kukomesha huo ufisadi usjirudie huko tuendako
Tupe mpango mkakati aliokuja nao ili ukame usituathiri (BWAWA LA NYERERE NI UMEME WA MAJI ) Usitaje ukame unalihusu
Tutajie mpango aliokuja nao wa KUDHIBITI VYETI FEKI? mbona aliwafukuza watu na BASHITE ALIACHWA?kwann wanajesh na mapolisi waliachwa kama kweli zoezi lilikuwa huru na la haki?
Mbona alimfukuza hata CAG kwa kufichua ubadhilifu
unamdanganya nani na kwa faida gani?
kiongozi kupitia chama chake anamnunua mbunge wa chama kingine kisha uchaguzi uanrudiwa na anasimama kwenye jimbo lilelile kama hayo siyo matumizi ambaya ya pesa za umma nini basi?
alitukuta tuna bunge la vyma vingi katuacha na la chama kimoja halafu mnajiteknya ohhh TOZO si mlishangilia bunge la chama kimoja la magufuli nyie ?
shujaa hawi vile, kile ni kikaragosi cha udictator
 
Wananchi waliamua nini zaidi ya dikteta kupora haki yao ya kuamua?
Hukujibu swali bali ume divert swali muhimu,udikteta sio tatizo kama miradi ilitimia kwa wakati,tena bila wiziwizi kama ilivyo sasa!

Udikteta sawa,lakini wananchi walikula na kushiba,tofauti na ilivyo sasa.

Udikteta sawa,lakini alidhibiti mfumko wa bei,tofauti na ilivyo hivi sasa

Udikteta sawa,lakini alizunguka live nchi nzima akiongea na wananchi na akitatua matatizo yao pale pale alipoyakuta.

Kama kufukuza wezi wa mali za Umma ni Udikteta hapo sawa!

Kama kufukuza vyeti fake ni udikteta kwenu haya bhana!

Kama kukomesha Warsha lukuki bila tija,Makongamano,Semina,Ufunguzi usio na tija ni udikteta kwa walamba asali,sawa bwana!

Ila Magufuli ni Icon itakayoendelea kukumbukwa kwa vizazi na vizazi,kwa alama nyingi alizoziacha jila kona ya nchi hii.
 
Zaidi ya ule wiki wa trillion 1.5 aliomfukuza kazi CAG baada ya kuubaini?
Nyie kweli vilaza ile hela aliyojengea uwanja wa ndege kijijini Chato alizitoa wapi?
Na ilifuata process halali?
AliWaachia "IKULU" na Mafaili yake yote!
Aliwaachia "TISS" na watendaji wake wote!
Aliwaachia TAKUKURU na watendaji wake wote!
Aliwaachia POLISI na watendaji wake wote!
Aliwaachia CAG na watendaji wake wote!

Lakini,mpaka leo hii.
Pamoja na kujenga makundi maalumu kumchafua kila uchao.

Lakini hakuna mahali mmeweza kutuonyesha watanzania kwa ushahidi wa NYARAKA na vielelezo vingine vyovyote vile.

Ili kututhibitishia madai yenu.
Kama ilivyowahi kuthibitishwa huko nyuma katika ufisadi wa..... RICHMOND,EPA,MEREMETA,
KAGODA,IPTL,TICS nk.
 
Kamua Nani. Jpm aliwaua watu wanajulikana na ndugu zao mpaka Leo wanawalilia ndugu zao bila jibu
Magufuli alimuua nani? Tupe ushahidi wa majina, namna alivyowaua, siku aliyowaua na sehemu aliyowaulia. Kinyume na hapo rudi kijiweni unakovutia bangi na kuchota hizo story za kipuuzi ukatulie.
 
 
Kwa hiyo hujui hata kazi ya serikali ni nini! We kweli mbulula. Kazi ya serikali ni kulinda raia wake na ikitokea mtu kafa ndani ya nchi na serikali ikaka kimya ten kwa rusasi maana yake serikali ndo imemuua.

Unless utwambie kipindi jpm serikali ilikuwa haipo au haikuwa inajua majukumu yake
Magufuli alimuua nani? Tupe ushahidi wa majina, namna alivyowaua, siku aliyowaua na sehemu aliyowaulia. Kinyume na hapo rudi kijiweni unakovutia bangi na kuchota hizo story za kipuuzi ukatulie.
 
Inasikitisha sana
Nikikumbuka nilivyodhurumiwa korosho huko kusini,Magari ya JWTZ yanasomba tu hakuna maswali.Huo ulikuwa wizi Kama ulivyo wizi mwingine!!!!
 
Nchi ina watu wenye akili finyu sana na hiki ni chanzo kimojawapo maendeleo kukwama.
 
We ndio ndezi kama kazi ya serikali kulinda raia wake haya mauaji ya panya road, yule askari polisi kule mtwara, yule aliyeua mkewe kule mwanza, kupotea kwa lijenje na kadhalika na kadhalika maana yake ni rais wa sasa ndio kawaua? Mnafki mmoja tu wewe
 
Kiukweli chawa pro wameanza kipindi...cha....
 
We umejua hayo kwa sababu vyombo vya habari viko huru kuripoti chochote ila wakati ule vyombo vya habari vilizikwa
 
Miradi ipi ambayo ilikamilika kwa wakati na ipi ambayo haijakamilika?
Nionyeshe wizi unaofanyika sasa hivi tofauti na dikteta?
Deni la taifa limepanda kwa huyu dikteta kuliko awamu zote zilizopita
Kuhusu mfumuko wa bei alikuta sukari kilo sh 1800 akapandisha hadi sh 5000 kama
Walikula na kushiba kwa maana aliwakuta na njaa? Kwa hiyo ukame huu na vita kama angekuwepo angevizuia? You are deluded
Alifukuza wezi wakati sifa yake moja hata kabla ya kuwa raisi ni kuwahonga vimada wake nyumba za serikali alipokuwa waziri?
Kafukuza wezi halafu akatengeneza genge lake la kula yako wapi mabilioni ya plea bargaining?
Ziko wapi 1.5 trillion CAG alizosema akamfukuza kazi?
Kutatua matatizo kwa raisi ni dalili za kushindwa kwa mfumo aliokuwa anauongoza.
Nani alimshambulia Tundu Lissu?
Yuko wapi Kangoye wa Kigoma?
Yuko wapi Ben Saanane?
Nani alikamatwa kwa kifo cha Akwilina?
Mwandishi wa gazeti la mwananchi je?
Nani aliyemteka Mo, Kipanya, na wengineo lukuki?
Siku hizi wasiojulikana wako wapi? Wameondoka na dikteta of course.
Ameharibu bunge kwa kuweka wapumbavu wa CCM bungeni halafu unamtetea?
Ikiwezekana hata huko afe tena huko aliko.
Mwisho namshukuru Mungu Baba kutuondolea hii laana
 
We umejua hayo kwa sababu vyombo vya habari viko huru kuripoti chochote ila wakati ule vyombo vya habari vilizikwa
Kama vyombo vya habari vilizikwa,wewe ulipata habari kupitia nimi?

Mat*ko? Au....

Muwe mnajua humu kuna watu wenye uelewa kuliko mnavyochukulia.

Wewe unakaa na kutoa habari ulizokaririshwa kijiweni tu,ukitarajia humu woote ni ndondocha wenzako!

Hao kina Zitto hawakuwahi kuzusha uongo wa mauaji ya raia huko kigoma?

Na alipobanwa na kupelekwa eneo la tukio athinitishe au hata kuonyesha familia za wahanga mnona alishindwa?
Tumieni ubongo kufikiri .
 
Vyombo vya habari vilivyokuwa vinatamba ni vya musiba tu kwa ajiri ya kumsifia na vikaenda mbali kumfananish na mungu. Tanzania daima na mawio vilifungwa Mana hakutaka kukosoleqa kabisa. Mi sasa ndo mama kavifungulia kuonesh mama Hana nongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…