Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Pumbaf,mafala ni wazazi wako
 


Alijua muda wake ulikuwa mchache sana na amezungukwa na vipofu wenye kelele nyingi kwa jina la upinzani....upinzani uchwara wachumia tumbo...ilibidi afanye alichofanya ili ajaribu kulisogeza gurudumu kwa haraka...

Yaaani aache kupambana kutafuta pesa ya kujenga nyumba mpya arudi nyuma kuziba nyufa....kwani kuna sheria inasema waajiri watu wenye vyeti feki...
 

Gas unayo?!

Gas mbona ishauzwa...

Ukame uko wapi ndugu....amka ukatuonyeshe...

Global warming imesemwa eeeh kwamba North Pole by 2013 itakuwa ice free ila chakushangaza mpaka leo kuna barafu.....

Kaa ukaange ubuyu uachie wenye meno watafune...
 
Ungekuwa na akili yenye akili ungejiuliza ni kwanini atoe kauli ya kujihami? Eti mtanikumbuka kwa mema sio kwa mabaya?! Kwanini asiseme tu "mtanikumbuka" basi?! Kama mwalimu Nyerere kwenye kitanda chake cha mauti alivyosema "najua watanzania watanililia sana" basi! Jiwe Alijua dhahiri bin shayiri katika kila matendo yake 10 alikuwa na mabovu 8-9 na jema 1-2 tu! Na kwayo asingeweza kuishi muda mrefu kutokana na historia ya kitabu alichokiandaa yeye mwenyewe kwa hiari, akili, roho na utashi wake! Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi Amin!
 
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu, kwa machungu ya kukaa vijiweni baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake, ajira hewa, utumbuzi majipu, uchaguzi 2020.
Na wewe ni mmoja wa lile kundi la majambazi yaliyokuwa yanapora fedha wafanyabiashara ,ni mmoja ya wale watekaji na wauaji wa wanasiasa kipindi cha magu ,na wewe ni mmoja wa push gang mliokuwa mnatukana viongozi wastaafu wa awamu ya nne ,na wewe ni mmoja wa wa wanaharakati huru waliokuwa wakiwasema vibaya wapinzani.
 


Kama kutekwa kwao kwa sisi wanyonge tulipona ni sawa tu...maana tulikuwa tunaoga na mgao tulisahau ...sasa hv tozo na kuoga hatuogi....
 
Kama kutekwa kwao kwa sisi wanyonge tulipona ni sawa tu...maana tulikuwa tunaoga na mgao tulisahau ...sasa hv tozo na kuoga hatuogi....

Labda wewe kipindi cha mgu ulikuwa umeunganishwa kwenye line ya ikulu ,huku kwetu umeme ulikuwa unakatika na maji vile vile yalikuwa yanakatika sema kipindi cha magu ilikuwa habadani asilani kutangaza kwamba kuna mgao ,mkuu yeyote wa department atakayetangaza mgao siku hiyo hiyo magu anakula kichwa.

Ili kuthibitisha ebu search nyuzi za kukatika umeme au malalamiko ya maji kipindi cha magu na utaona humu sipo nyuzi kibao tu.
 


Hapana mkuu nakaa mbali sana na Ikulu..kipindi cha Magu hata mvua ikinyesha umeme ulikuwa haukatiki...tulikuwa tunashangaa sana...ni mara ya kwanza kuexperience hivyo tokea nizaliwe...tulizoea mvua ikinyesha tu umeme unakatika....

Ila sasa bwana...business as usual...
 
Sasa hivi kila unakopita watu wanajiliwaza na clip za Magufuli.

Kweli kabisa...status page yangu ya watsap..asilimia 90 watu wameweka ile clip ya Magufuli aliokuwa anaongelea kuhusu ufisadi wa mgao wa umeme...
 
We amka toka ndotoni usije ukakojoa kitandani.
Kwa taarifa yako wenye nchi washagundua kosa walilofanya, hawarudii tena kumwachia nchi mshamba kama Jiwe

Nchi ni ya wakina nani hii mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…