Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Yes. Waligawana zamani tuu na bado akawa anamlipa kila mwezi. Ndo maana namwambia katika wosia feki hadi mali za mercy zilijumuishwa.
 
Kile chama cha wajane kilichomnunulia khanga za pole kiko wapi? Hawakujua kuwa mjane ni tapeli.
Lakin kihalali Jack kama Jack si anatakiwa nae apewe mgawo wake kama mke wa marehemu?
 
Yaani inabidi tumnyooshe kama tulivyomnyoosha huyu malaya. Watoto nao tatizo maisha yao ya kizungu sana. Sisi ndo watetezi wao. Wale ni yatima. Tutasimama nao. Wanaume jaman jifunzeni
Watoto ni mali ya jamuhuri, na jamuhuri yenyewe ndio sisi.... So lazima tuwateteee hawa watoto kwa masilahi ya baadae.

Infact kwann tusifile for custody......?!
 
Kwa nini lkn huyu dada ana nyanyasika?!!

Chama cha wanawake mteteeni mwanamke mwenzenu apate HAKI yake.

Kuna chama cha wana sheria wanawake, kuna taasisi mbali mbali..,

Kwa maoni yangu huyu Mjane wa Mengi anayo HAKI ila kuna hila zinafanyika kuhakikisha kuwa anakosa HAKI yake.

Bado anayo fursa ya kwenda mahakama za juu zaidi, kamwe asikate tamaa, sisi watetezi wa HAKI za walio dhulumiwa au kunyanyaswa tupo nyuma yake hadi atakapo fanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…