Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Hukumu inayoeleweka lazima iwe ndefu?Ile kesi Ina interest za kitaifa mkuu, haikua nyepesi ilipaswa aandike hukumu inayoeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumu inayoeleweka lazima iwe ndefu?Ile kesi Ina interest za kitaifa mkuu, haikua nyepesi ilipaswa aandike hukumu inayoeleweka.
Huyu malaya ndo kawaunganisha[emoji23][emoji23] na uzuri backup full army ya kutosha ipo.Mengi alikuwa na misunderstandings na familia yake kwa mke wa kwanza, sijui kama walimalizana hizo tofauti ila zilikuwapo.
Yes. Waligawana zamani tuu na bado akawa anamlipa kila mwezi. Ndo maana namwambia katika wosia feki hadi mali za mercy zilijumuishwa.Kabla mke wa kwanza kufariki (Mercy), nasikia walishagawana mali kila mtu akaendelea na maisha yake hadi umauti unamkuta hapo juzi kati.
So kwenye hilo la mali kati ya mengi na mke wa kwanza naona walisha settle.
Ila kwa wanae wakubwa nadhani ndio kuna changamoto. Kilichotukia ni kuwa mzee aliwapa watoto wake wakubwa sehemu za miliki za za makampuni yake ila sio urithi. Sasa bi dada akajiamulia yeye kuwa watoto kupewa sehemu ya mali kuzisimamia ndio mgao wa urithi.
Jack kaandika twitter karusha na ripoti ya madaktari inasema mengi alikuwa vizuri kiakiliJambazi mwingine wa kike yule.
Hizi tarehe mbona kama zinakinzana???Naona huyo Jack ameibuka uko twitter na vichambo, sijui Mzee Mengi alimuokotea wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakin kihalali Jack kama Jack si anatakiwa nae apewe mgawo wake kama mke wa marehemu?Kile chama cha wajane kilichomnunulia khanga za pole kiko wapi? Hawakujua kuwa mjane ni tapeli.
😄😄😄😄 Angeshinda hii kesi saizi angekuwa zake Dubei anapata breakfast na mashoga zake huku huku makofia yao ya kiroyal yanataka kugongana...dada alikuwa na mashauzi yule!!Ataachaje kujiposti na sasa jimbo lipo wazi???? Mjini pagumu.....
Aaaah sasa hiyo ni mipango yake ila sio utaratibu.Kaka mtu amesema ukisoma katika hiyo hukumu, anataka awaandae hao watoto ili waje kuendeleza mali ya familia kwa miaka 50 hadi 60 mbele.
Akitangaza kuomba ndoa ataolewa na watoto wake na watapelekwa shule.Mwambieni Jack aje adange hapa sinza tutamuunga.
Nasema uongo ndugu zangu
Wachaga hawawezi kuwaacha wale watoto bila kitu, pesa atapewa ya kulea watoto na pesa ya kujikimu kama mjane atapata. Mahesabu ya bibie yalikua makubwa zaidi.Lakin kihalali Jack kama Jack si anatakiwa nae apewe mgawo wake kama mke wa marehemu?
Hehehe[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Angeshinda hii kesi saizi angekuwa zake Dubei anapata breakfast na mashoga zake huku huku makofia yao ya kiroyal yanataka kugongana...dada alikuwa na mashauzi yule!!
Hebu tupe dodoso umeelewa niniMwishoni kwenye hukumu ametoa shule sana, yupo vizuri.
Watoto ni mali ya jamuhuri, na jamuhuri yenyewe ndio sisi.... So lazima tuwateteee hawa watoto kwa masilahi ya baadae.Yaani inabidi tumnyooshe kama tulivyomnyoosha huyu malaya. Watoto nao tatizo maisha yao ya kizungu sana. Sisi ndo watetezi wao. Wale ni yatima. Tutasimama nao. Wanaume jaman jifunzeni
Hakunaga appeal kesi ikifika mahakama kuu ndio finalAkiappeal kinabadilika nn? Bora atulie angalau hata percent iongezeke.
Aone mara ngapi?! Ameshaona.....Marehemu alimpenda sana Jacky, angekua anaona wanachomfanyia asingefurahi,
Lazima iwe na ufafanuzi wa kutosheleza kwenye Kila issue.Hukumu inayoeleweka lazima iwe ndefu?
Ndo maana summary ni urithi umefutwa kama unautaka kwa kina ndo usome ya kiingerezaHukumu inayoeleweka lazima iwe ndefu?