Dah naomba wajoin hii vita halafu waone balaa lake..... One condition, vita visipiganwe kimya kimya.Kwa nini lkn huyu dada ana nyanyasika?!!
Chama cha wanawake mteteeni mwanamke mwenzenu apate HAKI yake.
Kuna chama cha wana sheria wanawake, kuna taasisi mbali mbali..,
Kwa maoni yangu huyu Mjane wa Mengi anayo HAKI ila kuna hila zinafanyika kuhakikisha kuwa anakosa HAKI yake.
Bado anayo fursa ya kwenda mahakama za juu zaidi, kamwe asikate tamaa, sisi watetezi wa HAKI za walio dhulumiwa au kunyanyaswa tupo nyuma yake hadi atakapo fanikiwa.
hawamfikishi......atakufa kwenye mali za wenyewe.......so yule mualabu alikuwa eat n run.....wakiponda mali za Machache........Amorette walikuwa client wangu....nilipiga pesa sana.....angenisikilzaga hata kiduchu tuu.....angeweza kuwa na kitu kwenye ramani ta TZ.Si naskia amepata mthungu?
😂😂😂😂😂Hapana. Hawakupata mtoto. Malaika wa MUNGU wapo kazini kupunguza uzao wa maagent wa shetani.
Huyu nae tunamfungulia uzi ili tumseme....
Dah we jamaa umbea wako ni next level, yaani unataka hadi nyaraka za hardcopyNimeiona Boss , nilikuwa nahitaji hard copy yake
Ulimshaurije kwan?hawamfikishi......atakufa kwenye mali za wenyewe.......so yule mualabu alikuwa eat n run.....wakiponda mali za Machache........Amorette walikuwa client wangu....nilipiga pesa sana.....angenisikilzaga hata kiduchu tuu.....angeweza kuwa na kitu kwenye ramani ta TZ.
anatumia jina gani TwitterUko sahihi kabisa. Jacky alijilengesha na alimpora mwenzake. Yaan ilikua ni target kbs. Ni kwasababu she wanted a gucci life[emoji23][emoji23]
Huko twita ndo amekosea kabisa kupeleka jambo lake. Anakula spana za akina funjo balaa. Ngoja nikamuue tena
Bro unajua maamuzi ya kikao cha mahakama kuu ni ya mwisho hakuna ziada ya hapo?!Hii ilikuwa high court, bado court of appeal
Funjo kakomenti kwenye post ipi kwenye ile tatizp twitter sio kama jamiiforum post hazifatani. Nikitaka nicapture every inch of the comments.Uko sahihi kabisa. Jacky alijilengesha na alimpora mwenzake. Yaan ilikua ni target kbs. Ni kwasababu she wanted a gucci life[emoji23][emoji23]
Huko twita ndo amekosea kabisa kupeleka jambo lake. Anakula spana za akina funjo balaa. Ngoja nikamuue tena
Jacquiline N. Mengianatumia jina gani Twitter
Ameandika kwa page yake. Ila spana anakila hapohapo kwenye tweets zakeFunjo kakomenti kwenye post ipi kwenye ile tatizp twitter sio kama jamiiforum post hazifatani. Nikitaka nicapture every inch of the comments.
Duh sijui tunabishana nini sasa na upo upande wa kile ninachosema. [emoji23][emoji23][emoji23]wewe bwana kama mzee alikuwa hataki mambo ya relationship mbona kwa hela alizokuwa nazo alikuwa anakula mbususu atakayo tena kwa condition kuwa nasassambua na hatujuani.
kwani ukiwa billionea kuna mwanamke hapa duniani atakataa kuwa sexmate wako? kama yupo basi huyo mwenyewe tayari billionea.
ana dharau yule....ila sikujali ....just money...alikuwa na factory nzuri sana ya furniture -Amoratte, kosa ni bei zake....soko la TZ ni zuri sana kwa interior thing.......but hakuelewa....nina wateja maalum.......mpaka mishahara alishindwa....mzee alisafiri...kampuni imekufa...alikuwa na full fuctory...Ulimshaurije kwan?
Watu wote was kigoma huwa wanadai wao Ni waha wanapotiliwa mashaka na uraia wao.Alafu huyu mdada nikama sio mtz ule ubini wake nikama Wa Rwanda au Burundi
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Wale watoto wote ni wa marehemu so wana haki sawa. Alitakiwa kuwa mtulivu na kuwa nao makini si lazima sana kuwa nao karibu kama hawakuwa wakimpenda ila alitakiwa asiwaonyeshe ubabe kwenye mali ya baba yao ambayo wao kama watoto wamezaliwa na kuiona ikiongezeka plus watoto wenyewe kiumri ni wakubwa hata kwa kyln wamemzidi kiumri so hakuwa na haja ya kuwazingua.Hahaha twende front mkuu. Twendee. Sisi ndo jamhuri yenyewe. We are the power. Hatutaki ujinga. Halafu anawatisha watoto wa marehem maskini. I feel so bad for them. Anataka tumia connections zake. Kwa hili tunamuomba jk akae pembeni kbs. Asije kutuharibia furaha
Anavyozidi kuvurumua madocument anazidi kuleta complicationsMkuu naogopa kuandika mengine. Hakika hali si nzuri. Battle lilikuwepo sema sasa yeye ni mke mwisho wa siku. Ila nakuhakikishia yako mengi ambayo naluambia leo hii jacky angekua ndani. Me viongozi wengine wananiudhi na ustaarabu wao
Huwa sipendagi wanawake wanaotetea ujinga ujinga .Kwa nini lkn huyu dada ana nyanyasika?!!
Chama cha wanawake mteteeni mwanamke mwenzenu apate HAKI yake.
Kuna chama cha wana sheria wanawake, kuna taasisi mbali mbali..,
Kwa maoni yangu huyu Mjane wa Mengi anayo HAKI ila kuna hila zinafanyika kuhakikisha kuwa anakosa HAKI yake.
Bado anayo fursa ya kwenda mahakama za juu zaidi, kamwe asikate tamaa, sisi watetezi wa HAKI za walio dhulumiwa au kunyanyaswa tupo nyuma yake hadi atakapo fanikiwa.
[emoji23][emoji23] kujiridhisha mkuuDah we jamaa umbea wako ni next level, yaani unataka hadi nyaraka za hardcopy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ngoja huu tujaze halafu tumuanzishie dude lake.Ewaaah. Tukiwashe naye huyu