Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Kumbe wanakuwaga na roho mbaya hivyo[emoji15]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
ana watoto wetu....kapiga muziki....mwache aucheze kwanza...tupo kaunta tunaangalia shoo...
 

Ila lile hekalu walijenga wakiwa na jacky
 
1/10 ya bilioni 500 ni bilioni 50...

Sasa bilioni 50 mrembo hajapata utajiri kweli?

Kumaliza bilioni moja tu sio kazi ndogo .

Ukiwa unatumia kila siku laki moja , itakuchukua miaka 25 kumaliza bilioni moja.

Sasa piga hesabu ya bilioni 50
Yani bro iyo Bilioni hamsini mwenyewe unaona nyingiiiiiiiiiii
 
Dah ...........
Ila sasa hata kama aliuandika akiwa na hitilafu kwa mukichwa hiyo 2016 si angeammend alipopona? Maana in 2018 huko alikuwa anahudhuria mikutano mingi tu na wakuu wa nchi.
 
Japo hayanihusu Ila nimefurahia maamuzi ya mahakama na yameacha uendelevu mzuri wa kisheria kwa wazee wetu wanaoendekeza ubaharia.
 
Aliposema wasia huu.wakipinga wapewe buku hapo.ndo.doa lilipotojea

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha ni nomare, wanachotaka ni kitonga na ngai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…