miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
We naye umetokea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.
KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.
HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anateseka na sisi. Anataka tumjadili yeyeLazma wewe Utakua ndio mwanasheria wa Jacky
Pole mwaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pooh mbaka. Kuna watu wanaendeshwa kwa hisia humu sijapata ona. Ama kweli la saba hawa. Klyn mwenyewe ndo wale wale. Msomi hata ambaye hana taaluma ya sheria hawezi andika ule mserepwetoDarasa la 7 utawajua tu.
Endelea kuota zwazwa wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anateseka na sisi. Anataka tumjadili yeye
wewe usiseme hivyo.. aibu.Bro unajua maamuzi ya kikao cha mahakama kuu ni ya mwisho hakuna ziada ya hapo?!
Basi ngoja tuanze mjadili yeye aone raha. Jacky hana cha kutoa zaidi ya k yake tu kwa sasaAlikua anasubiri mgawo toka kwa Jacky
Mkuu, kuhusu huu wosia hata usijioe mawazo bestie. Siye close people understand it to some extent. Jacky played a foul. The player got played. Hakuna kitu kama kile. Ule wosia siyo. Na mengi ni msomi na ana exposure. Wosia una taratibu zake. Na unajulikana. Ule siyo wosia ni takataka. Dhuluma ya nn. Wosia gani unainclude mali ambazo ni za mke mkubwa ambazo walishagawana zamani kns huko? Mambo mengi hakua well informed ndo maana makando kando mengi. She is not smart enough. Her 'K' is not a CAREER.Ukweli Kuna kitu nimejifunza. Kwamba wosia wa marehemu, unaweza kubatilishwa na mahakama? Na kwamba ulitaka kuandika wosia yafaa uhusishe mwanasheria kusudi wosia uwe Hali kisheria? Sijua, bado najiuliza. Mtu akifariki hawezi Tena kujitetea, inakuwaje alichotamka au kuandika Kama wosia kipingwe?
I am sorry nilichanganya na ile ya masheikh wa uamsho. Huyu anaweza akaomba Revision maana she was not a party to the main cause. Au asubiri aende mahakamani kupinga mgao utakaofanyika...On what grounds?
Inaonekana alikuwa anajitengenezea mazingira kutokea kwenye FORBES, Africa youngest female billionaires..haa haa haa daah jamani muamsheni, kipupwe hiki akikojolea godoro, ni baridi!Jack mjinga sana. Ana haki ya kudai mgao wake na watoto wake lakini siyo kunyang'anya mali zote na kuwatenga watoto wakubwa wa marehemu. Huu ni uchu uliopitiliza
Mkuu, kuhusu huu wosia hata usijioe mawazo bestie. Siye close people understand it to some extent. Jacky played a foul. The player got played. Hakuna kitu kama kile. Ule wosia siyo. Na mengi ni msomi na ana exposure. Wosia una taratibu zake. Na unajulikana. Ule siyo wosia ni takataka. Dhuluma ya nn. Wosia gani unainclude mali ambazo ni za mke mkubwa ambazo walishagawana zamani kns huko? ti her K is not a career,
"Her K is not a career" nimefika naomba nishuke, aisee watu mna maneno!!Mkuu, kuhusu huu wosia hata usijioe mawazo bestie. Siye close people understand it to some extent. Jacky" played a foul. The player got played. Hakuna kitu kama kile. Ule wosia siyo. Na mengi ni msomi na ana exposure. Wosia una taratibu zake. Na unajulikana. Ule siyo wosia ni takataka. Dhuluma ya nn. Wosia gani unainclude mali ambazo ni za mke mkubwa ambazo walishagawana zamani kns huko? Mambo mengi hakua well informed ndo maana makando kando mengi. She is not smart enough. Her 'K' is not a CAREER.
Yes... HER PUSSY IS NOT HER CAREER...."Her K is not a career" nimefika naomba nishuke, aisee watu mna maneno!!
sawa kaka wa mjane tumekusikianitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.
KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.
HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?
Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
Ahsante sana kunirekebisha, kama nimekosea.Mkuu sheria haisemi hivyo.
Msimamizi wa mirathi huteuliwa na mahakama, either kama ameomba au mahakama yenyewe itajavyoona inafaa kwa maslahi ya mirathi yenyewe.
Sheria inasema mtu yeyote anaweza kuchaguliwa ku msimamiz ikiwa tu mahakama itaridhishwa nae.
Masharti gani ya kishenzi hayo mwanaume gani utakubali?Ah kila mwanamke yupo onna mission...kuoata mwanaume mwenye mihela....wanawake wanaangalia lofe lipo wapi na sio kwamba wanapenda.
Yeye alichobugi ni kwamba kabla ya kuzaa wale watoto angempiga pin kibabu. Kwanza weka billon tatu kwenye account yangu ndio nakuzalia. Tena una mwambia kabisa mzee kuwa hizo mali za huko nyuma ulizochuma na mkewe ni haki ya hao watoto wako wakubwa. Mie niwekee fungu langu kabisa ndio nakuzalia ili nisije kuvutana shati na watoto wako.
Majinga hayo yanashindwa hata kwenda Zoom College pale manzese kwenda kusoma Certificate ya Tailoring yanakuja kutupigia kelele hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pooh mbaka. Kuna watu wanaendeshwa kwa hisia humu sijapata ona. Ama kweli la saba hawa. Klyn mwenyewe ndo wale wale. Msomi hata ambaye hana taaluma ya sheria hawezi andika ule mserepweto