Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.

KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.

HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?

Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
We naye umetokea wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
 
Darasa la 7 utawajua tu.

Endelea kuota zwazwa wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pooh mbaka. Kuna watu wanaendeshwa kwa hisia humu sijapata ona. Ama kweli la saba hawa. Klyn mwenyewe ndo wale wale. Msomi hata ambaye hana taaluma ya sheria hawezi andika ule mserepweto
 
Huyu alimuingia mzee shauri ya mali hivi mtaani kawaida angeweza kutoka na age ya mzee mengi isiyo na pesa na kuzaa nayo? Alikosea pia approach ya kutaka vyote,angekaa kwa kutulia mbona Regina na Abdi wangempa maisha kwasababu ya wale watoto ilikuwa damu ya mzee,asingekosa nyumba yake nzr,bima iliyoiva kutibiwa huko duniani,usafiri,uhakika wa elimu ya watoto ya huko dunia ya kwanza,ni vile tu binadamu haturithiki..Sasa yeye ndio akajidai mama Mengi original haki ya Mungu hata Mimi ingekuwa watoto wa Mengi nisingekubali kijitu kije kitupore kila kitu kwasababu tu ya k....ulisikia wapi...
 
Ukweli Kuna kitu nimejifunza. Kwamba wosia wa marehemu, unaweza kubatilishwa na mahakama? Na kwamba ulitaka kuandika wosia yafaa uhusishe mwanasheria kusudi wosia uwe Hali kisheria? Sijua, bado najiuliza. Mtu akifariki hawezi Tena kujitetea, inakuwaje alichotamka au kuandika Kama wosia kipingwe?
 
Mkuu, kuhusu huu wosia hata usijioe mawazo bestie. Siye close people understand it to some extent. Jacky played a foul. The player got played. Hakuna kitu kama kile. Ule wosia siyo. Na mengi ni msomi na ana exposure. Wosia una taratibu zake. Na unajulikana. Ule siyo wosia ni takataka. Dhuluma ya nn. Wosia gani unainclude mali ambazo ni za mke mkubwa ambazo walishagawana zamani kns huko? Mambo mengi hakua well informed ndo maana makando kando mengi. She is not smart enough. Her 'K' is not a CAREER.
 
Jack mjinga sana. Ana haki ya kudai mgao wake na watoto wake lakini siyo kunyang'anya mali zote na kuwatenga watoto wakubwa wa marehemu. Huu ni uchu uliopitiliza
Inaonekana alikuwa anajitengenezea mazingira kutokea kwenye FORBES, Africa youngest female billionaires..haa haa haa daah jamani muamsheni, kipupwe hiki akikojolea godoro, ni baridi!

Everyday is Saturday................................😎
 
Mkuu, kuhusu huu wosia hata usijioe mawazo bestie. Siye close people understand it to some extent. Jacky played a foul. The player got played. Hakuna kitu kama kile. Ule wosia siyo. Na mengi ni msomi na ana exposure. Wosia una taratibu zake. Na unajulikana. Ule siyo wosia ni takataka. Dhuluma ya nn. Wosia gani unainclude mali ambazo ni za mke mkubwa ambazo walishagawana zamani kns huko? ti her K is not a career,

Mkuu, kuhusu huu wosia hata usijioe mawazo bestie. Siye close people understand it to some extent. Jacky" played a foul. The player got played. Hakuna kitu kama kile. Ule wosia siyo. Na mengi ni msomi na ana exposure. Wosia una taratibu zake. Na unajulikana. Ule siyo wosia ni takataka. Dhuluma ya nn. Wosia gani unainclude mali ambazo ni za mke mkubwa ambazo walishagawana zamani kns huko? Mambo mengi hakua well informed ndo maana makando kando mengi. She is not smart enough. Her 'K' is not a CAREER.
"Her K is not a career" nimefika naomba nishuke, aisee watu mna maneno!!
 
nitahamasisha huyu dada asaidiwe na chama cha mawakili wanawake wote, pia tunaomba LHRC iingilie kumsaidia huyu MJANE anaye nyanyasika na kuminywa kisa ni mwanamke,
Hapana,
Tunaomba HAKI itendeke.

KESI HIII ITAKUWA YA MFANO.

HAYA NI MAPAMBANO KATI YA FAMILIA YA KITAJIRI KWA UPANDE MMOJA NA MWANAMKE MJANE ASIYE NA NGUVU KUBWA YA KIUCHUMI.
NANI MSHINDI?

Huu wasia wa marehemu mengi unapotoshwa kwa makusudi, mRa ohh saini imekosewa mara ohhh haukufungwa hizi hoja gani za ajabu kabisa, acheni kumdhulumu mjane.
sawa kaka wa mjane tumekusikia
 
Mkuu sheria haisemi hivyo.
Msimamizi wa mirathi huteuliwa na mahakama, either kama ameomba au mahakama yenyewe itajavyoona inafaa kwa maslahi ya mirathi yenyewe.
Sheria inasema mtu yeyote anaweza kuchaguliwa ku msimamiz ikiwa tu mahakama itaridhishwa nae.
Ahsante sana kunirekebisha, kama nimekosea.

Sheria inayosema huwezi kupewa usimamizi wa mirathi kama wewe si mrithi imefutwa lini, na hiyo mpya inasemaje, na uiweke hapa tafadhali.

Niliyoitaja mimi hii hapa:

CAP 352 OF LAWS OF TANZANIA
THE PROBATE AND ADMINISTRATION OF ESTATES ACT

Section 33
Letters of Administration on Intestacy

Where the deceased has died intestate, letters of administration of his estate may be granted to any person who, according to the rules for the distribution of the estate of an intestate applicable in the case of such deceased, would be entitled to the whole or any part of such deceased's estate
 
Ah kila mwanamke yupo onna mission...kuoata mwanaume mwenye mihela....wanawake wanaangalia lofe lipo wapi na sio kwamba wanapenda.

Yeye alichobugi ni kwamba kabla ya kuzaa wale watoto angempiga pin kibabu. Kwanza weka billon tatu kwenye account yangu ndio nakuzalia. Tena una mwambia kabisa mzee kuwa hizo mali za huko nyuma ulizochuma na mkewe ni haki ya hao watoto wako wakubwa. Mie niwekee fungu langu kabisa ndio nakuzalia ili nisije kuvutana shati na watoto wako.
Masharti gani ya kishenzi hayo mwanaume gani utakubali?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pooh mbaka. Kuna watu wanaendeshwa kwa hisia humu sijapata ona. Ama kweli la saba hawa. Klyn mwenyewe ndo wale wale. Msomi hata ambaye hana taaluma ya sheria hawezi andika ule mserepweto
Majinga hayo yanashindwa hata kwenda Zoom College pale manzese kwenda kusoma Certificate ya Tailoring yanakuja kutupigia kelele hapa.
 
Back
Top Bottom