miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Vicky namfahamu vizuri na familia yake,tumekuwa pamoja. Kuna mambo mengine nikiongea naweza stuka akanijua mimi nani [emoji3][emoji3][emoji3]
Yule Tapeli sina uhakika kwa sasa yuko wapi kwakweli,lakini Vicky ndiyo huyo aliishia kujikabidhi kwa Dr Likwelile ambako nako mambo yanawaka moto kati yake na Watoto wa Marehemu,anataka kuleta ujuaji wa Jacky,lakini naona kule kadhibitiwa vizuri na uzuri familia yake Vicky ni wacha Mungu so hakuna anaempa hiyo support anayoitaka kuhusu swala la mirathi ya Marehemu Likwelile.
Heee alikuwa haelewani na mama yake..itakuwa ni mkorofi basi
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tunasubiri muda tumsagie kunguni pia. Hatupendi tabia mbaya za kudhuliumu mali za mayatima
Tujifunze kuwa na watu hata pale ambapo hawana kitu. Tutafute vyetu pia. Tumsagie kunguni haswaa mana hatujui kesho zetu watoto wetu watabaki na kukutana na hali ganiHapa tuko pamoja
Duuh...basi atakuwa amepigwa kipapai kama ana kiherehere...maana mabalaa yanamuandama balaaWalikuwa kama mtu na Mke mwenzie hata kwa Harusi mpaka a day before Harusi ndiyo alikuja baada ya watu kumsihi sana,lakini ndoa ilivyoota mbawa Mama wa watu akakamata ndege ya asubuhi akasepa zake kurudi Mwanza,alikuwa anajiweza pia kimaisha maana alikuwa anafanya kazi BOT Mwanza.
Ana mdogo wake anaishi Ukonga wa kike wanaefuatana,ni kama Paka na Panya mahusiano yao. Usimuone kujipost IG,ni mkorofi sana hata kwa Familia yake. Ndugu wengi walimcheka mno baada ya hiyo Skendo ya Ndoa kupaa.
Mmmh huko insta anajiliza balaaa[emoji848][emoji848]Vicky namfahamu vizuri na familia yake,tumekuwa pamoja. Kuna mambo mengine nikiongea anaweza stuka akanijua mimi nani [emoji3][emoji3][emoji3]
Yule Tapeli sina uhakika kwa sasa yuko wapi kwakweli,lakini Vicky ndiyo huyo aliishia kujikabidhi kwa Dr Likwelile ambako nako mambo yanawaka moto kati yake na Watoto wa Marehemu,anataka kuleta ujuaji wa Jacky,lakini naona kule kadhibitiwa vizuri na uzuri familia yake Vicky ni wacha Mungu so hakuna anaempa hiyo support anayoitaka kuhusu swala la mirathi ya Marehemu Likwelile.
Hakika..on point 100%
Watu wagharamie mpaka walipofika halafu wengine waparamie tu. No senkyu!
Tigo walimtimua baada ya hiyo skendo,kulikuwa na pressure kubwa sana kutoka kwa Wanene wa Nchi hii,si unajua tena kuanzia Wabunge,Mawaziri wote walishachanga hadi michango ya Harusi,halafu kijana awaletee za kuleta.
Ma mke wa vasco da gama shughuli yake huwa si ndogo. Hata mwendazake anamtambua[emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222] chamba woote na bado akarudishwa msata na ving'ora.
Ni jk ndo alipiga na akamwambia sitaki matatizo na wewe namtaka mke wangu hapa sasa hivi. Basi weee... akaemseshwa na ving'ora juu mpaka msoga kama malkia[emoji28]AlivyoChamba Aliwekwa lockup na jiwe (rest house) akatolewa baada ya Mkapa kupiga simu
Ni jk ndo alipiga na akamwambia sitaki matatizo na wewe namtaka mke wangu hapa sasa hivi. Basi weee... akaemseshwa na ving'ora juu mpaka msoga kama malkia[emoji28]
AlivyoChamba Aliwekwa lockup na jiwe (rest house) akatolewa baada ya Mkapa kupiga simu
Kumbuka hapa ndo kwanza jiwe alikua fresh. Alikua hana ujanja wowote. Ama umesahau. Ndo kwanza amekua rais na ameanza kwa mbwembwe. Alikua bado hajaweka sawa rada zake. Na ujiangalia bado watu wa jk walikua wengi kwenye system so jiwe alikua muoga. Jeuri ameianza baada ya kujaza sukuma gang. Na ukiangalia mkwere alikua bado mtoto wa townKwa kiburi cha Jiwe siamini kama Mkwere alikuwa na huo ubavu wa kumwamrisha hivyo. Naweza kukubaliana na aliyesema Mkapa ndiyo aliingilia kati maana Jiwe alikuwa anamsikiliza. Ukitaka kujua Mkwere kwa Jiwe na yeye alikuwa mpole,mwangalie sasa hivi alivyochangamka na kuanza kuongea baada ya Jiwe kuwa hayupo tena. Kipindi akiwa hai Mkwere alikuwa kama hayupo kabisa.Jiwe ilikuwa habari nyingine aisee [emoji119][emoji119][emoji119]
Kumbuka hapa ndo kwanza jiwe alikua fresh. Alikua hana ujanja wowote. Ama umesahau. Ndo kwanza amekua rais na ameanza kwa mbwembwe. Alikua bado hajaweka sawa rada zake. Na ujiangalia bado watu wa jk walikua wengi kwenye system so jiwe alikua muoga. Jeuri ameianza baada ya kujaza sukuma gang. Na ukiangalia mkwere alikua bado mtoto wa town
Basi i received the info wronglyUkijaribu kusearch utaipata thread iliyoongelea hilo tukio. Nakumbuka walisema ni Mkapa na Kardinal Pengo ndiyo waliweka mambo sawa,baada ya Mkwere kugonga ukuta. Ilibidi Mkwere awaombe,Jiwe hakuwa na utani pale alipoamua kitu.
Yeu. Bwana wewe je?Tukuwoniiiiiiii
Basi i received the info wrongly
Aisee [emoji134] [emoji134]Ni jk ndo alipiga na akamwambia sitaki matatizo na wewe namtaka mke wangu hapa sasa hivi. Basi weee... akaemseshwa na ving'ora juu mpaka msoga kama malkia[emoji28]
Hivi Viki aliolewa lini maana Mimi tangu tangu alipopigwa tukio la ndoa hewa sikuwahi tena kusikia habari zake Hadi juzi Kati hapo alipofiwa na mume..nikajiuliza hee kumbe bi dada aliolewaKwa sasa ni mjane pia,Dr Likwelile amefariki nadhani mwezi February mwishoni tu hapa.