minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,751
- 4,946
Vicky anavyojililisha insta [emoji23][emoji23]
Huyo vick si alikuwa mbuge hizo hela hazikumtosha jaman pesa hiz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vicky anavyojililisha insta [emoji23][emoji23]
Surely we can not speculate what the court of appeal will decide but can say in passing, as you have suggested, that the reasons advanced by the trial judge are strong and sound, it might be an uphill track for the would be appelantAkiappeal kinabadilika nn? Bora atulie angalau hata percent iongezeke.
Kakutana na wenzake nao sijui walikuwa wanaogopa kumshauri, wakahisi ataacha kuwapa ofa za mitoko na miamala kisa watakuwa wamemletea ujuaji.Jewelry 92% wanazifanya wenzetu wahindi sijui tunafeli wapi waafrica...yaan kuutwa alikua anashinda na wale maslayqueen wake kujiselfie aisee mm mwaka mmoja nasimamisha bonge ya kampuni ..unachakarika had unahakikisha inesimama .naudhika sana na aina ya wanawake aina ile ..
Ningehakikisha nna vitalu vya uchimbaji eneo kubwa, vitalu ya uwindaji eneo lankutosha yaan sehemu zenye fweza angesimamisha kampuni za maana...mafala tu wale
Jack imekula kwake sasa, usicheze na mangi kwenye hela!
You damn are scared......Scared?
I ain’t neva scurred!
No business skillsMatatizo ya ma sly queen wanafungua biashara ambayo itawakoga marafiki zake mioyo. Hawaangalii maisha halisi ya watanzania walio wengi wanahitaji kitu gani.
Wachaga hawatumii condom ndo shida kuzaa tu ovyoWacha tuu ndugu
Mrembo anaweza patab1/10 sasa utasema amepata utajiri hapo?
Alitaka vyote
Kakutana na wenzake nao sijui walikuwa wanaogopa kumshauri, wakahisi ataacha kuwapa ofa za mitoko na miamala kisa watakuwa wamemletea ujuaji.
Kwa miaka 5 aliyoishi na yule mzee alikuwa na uwezo wa kusimamisha makampuni makubwa sana. Alitakiwa adeal na restaurants za kisasa, afungue maduka ya nguo ambazo zina wateja wa aina zote kuanzia kipato cha juu kati na chini.
Kuna biashara kama pharmacy pia ingefaa. Angekuwa na bonge la brand la pharmacy ambayo inakuwa na sifa ya kuuza dawa bora za kisasa kwa bei rafiki, kila mkoa.
Biashara za kufungua zilikuwa nyingi sana na very simple kuzianzisha na kupata connection kutoka kwa wadau wa serikalini na sekta binafsi.
Sasa dada huyu masikini, akakalia masifa ya kuvimba kichwa na kujiona yeye ni maridadi na wa daraja la juu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu eti kama wakienda kupinga huo wosia mahakamani wapewe shilingi elfu moja[emoji23][emoji23][emoji23]
Wale watoto walipandikizwa, mzee aliwahitaji hawakuja bahati mbaya.Wachaga hawatumii condom ndo shida kuzaa tu ovyo
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Angekuwa ni aisha madinda ningesema kweli maana kwenye video za twangapepeta alikuwa anayarudi mauno. Ila huyu Klyn hapana, kiuno mgongo na mapaja vinatumia code moja, yaani msuli m'moja unaviendesha hivyo viungo maana sijawahi muona akimwaga uno.Kwani hata wanajua kuyakata, basi tu alikuja kuchuma/kurithi mali maana alijua kuwa katika natural course of events, Mengi is to die earlier...
She was after his fortune, and he was after her beauty and that hole between her thighsDefine true love.....
Yaaani true love binti kama yule avutiwe na mzee wa miaka 70+ aisee that bullshish can only be found in fairytale stories not in real life.
Sio hio tu angekuwa ana import au export products abroad angekuwa mbali SanaIle sio biashara mkuu..vistuli unauza 3m..khaa ..! Angemfungulia kampuni hata za usafirishaj madin anajipelekea dubei huko au hata construction..mweeeee nasema mweeeeee!
Kwani mzee alikuwa na shida sana na watoto hadi amwambie hivyo?